Edward Lowassa kuongoza tamasha la 'Boda boda day' Jijini Dar es Salaam

Afe kipa au afe beki lzm dhamira itimie duh noma sanaaaa kaka mkubwa anakaba kila sekta mpk aishi pale magogoni
 
Najuwa kinakuuma sna ila jikazee!!Lowassa ni namba ingne!

Kinachoudhi ni watu kufanya promo ya candidate wa nafasi nyeti kama wanauza sabuni ya kufulia kwa maneno mepesi zaidi,ooonh watu wanajua sijui ni kichwa sana,maaara oonh ni yeye tu sijui ni namba ingine yaaani hakuna hoja za maana ila ushabiki tu!!!!!!

Yaaani moyoni hata yeye akikaa huwa anawashangaa ila sababu mnamfanyia kazi basi hawakatazi ila ana maswali mengi sana juu ya uwezo wa akili zenu!!!!
 
Anainua maisha ya watanzania kwa kuwasababishia mgao wa umeme? Boda boda zimekua majeneza yanayotembea .Vijana wanakufa na kuziacha familia zao.Alipokua waziri mkuu alisimamia majengo ya shule za kata kazi ambayo mtu yeyote anaweza kusimamia.Waliokaa ndani ya majengo hayo kwa sasa ndio waendesha bodaboda baadq ya kupata sifuri(Div.5 kwa sasa kupunguza ukali wa maneno)

acha upuuzi wako wew,sia afadhali hyo lowassa anayejaribu kuwasaidia vijana wa nchi,kma issue ni bodabdo zinavunja watu na kuwa uwa ungepiga kelele zisiingizwe nchi toka china,kwahyo watu waache kutumia kwasabu zako ambazo hazina mashiko,tatzo umekalia majungu hapo mjin lakin ungekuw unarudi kijijin kwenu ungeona umuhim wa hiz pikipiki,sasa utarudi mda gani,muda wote uko unasubiriwa utumwe pedi na familia ya mbowe ili walau upate maisha
 
sasa nimeamini Lowassa anachukuwa hii nchi,kila siku lowasa,lowasa,walimchafuw sna lakin Mungu kamuinuwa,sasa niwaambien nyie machadema ombeni lowassa akatwe jina ndicho kitakacho wasaidia,na sisiem wakitaka hicho chama kife,wakate jina la el,kwahy kote kuchungu!!ukisimam nchale,ukimumunya nchale.ehhhh nasubiria mtanange
 
afadhali Ccm ni chama cha kubeba mizigo ya shida za watanzania,kuliko chadema chama cha wanama na kikanda!
Usijifanye hujui na kupoteza lengo CCM CHAMA CHAKAVU hadi mawaziri wake wanaitwa mizigo kwa kutokushughulikia kero na kushindwa kutekeleza ahadi zao.
 
Usijifanye hujui na kupoteza lengo CCM CHAMA CHAKAVU hadi mawaziri wake wanaitwa mizigo kwa kutokushughulikia kero na kushindwa kutekeleza ahadi zao.

kajipangeni upya hatuwez kuwapa nchi wahuni wanao sepa na wake za watu,mbowe janga,slaaa janga!!
 
Kinachoudhi ni watu kufanya promo ya candidate wa nafasi nyeti kama wanauza sabuni ya kufulia kwa maneno mepesi zaidi,ooonh watu wanajua sijui ni kichwa sana,maaara oonh ni yeye tu sijui ni namba ingine yaaani hakuna hoja za maana ila ushabiki tu!!!!!!

Yaaani moyoni hata yeye akikaa huwa anawashangaa ila sababu mnamfanyia kazi basi hawakatazi ila ana maswali mengi sana juu ya uwezo wa akili zenu!!!!

ww binafsi na hata wazazi wako wnafahamu utendaji wa lowassa usiokuwa na dosari,tatzo laoko ni ile tu kujiondowa ufahmu,huwezi kumlinganisha huyo babu yenu na lowassa,lowassa kamuacha mbali sna babu,mbna hata hili babu anajuwa!!nyie cha msingi msiache kazi yenu kupiga upepo rangi manake ndio kula yenu!!ila ukweli upo mioyoni mwenu
 
Capture.GIF

Tamasha la Bodaboda(Boda boda Day) linatarajia kufanyika Jumamosi hii katika viwanja vya Leaders,Kinondoni. Mgeni Rasmi atakuwa Mh.Edward Lowasa,ambapo kuanzia saa moja asubuhi wale madereva wa Wilaya ya Temeke wataanzia uwanja wa Taifa,Ilala wataanzia nyuma ya TBC,Tazara,Kinondoni wataanzia katika viwanja vya biafra,maandamano yataelekea katika viwanja vya Leaders ambapo yatapokelewa na mgeni Rasmi mh.Lowasa.
Rais wa ukweli!
 
Lowassa!!!!&& nguruma baba!!!!!!' Lowassa Simba mtoto!!&Lowassa nguruma baba!!!Lowassa simba mtotooo&!!!&&&&
 
Back
Top Bottom