Munabusule
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 976
- 492
mtu mwenye mipango mipango mizuri unapata wapi maneno ya kuongea saa nzima.shida mmezoea kudanganywa, Safari hii mnalo.facts tuuuuuu tunaachange gear Kiwanja kingine.Eti, 'Tunataka Lowassa apewe saa nzima ahutubie'...kama si hoja za kitoto ni nini? Kweli mtu na akili yako unatoa hoja kama hiyo?
Heshima kwenu wana JF.
Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.
Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"
Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.
Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!
Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.
Naomba kuwasilisha.
Queen Esther
Hopeless, kwa hiyo ndo atakuwa anawaachia na kina Mbowe waongee. Kwa wenye ufahamu na kujitambua HATUMPI kura ya urais!
Yaani leo nimeamini kwamba Lowasa hana uwezo wa kujena hoja. Leo kaishia kusema kuwa anadeka kwa akina mama waliohudhuria mkutano wa BAWACHA
Nimepoteza muda wangu kufatilia kwa makini Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium, ili nisikie Mhe Lowassa amewaandalia nini Wake na Mademu zetu.
Ila nimeshangazwa na hutuba yake, ambayo haikubabadua chochote cha kuwabadilishia awa viumbe!
Aisee UKAWA jipangeni, mgombea wenu hawezi kumiliki jukwaa, kusema ukweli!!
Heshima kwenu wana JF.
Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.
Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"
Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.
Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!
Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.
Naomba kuwasilisha.
Queen Esther
We kweli hamnazo
Lowasa hajawaita wakina mama Bali yy ndie aliyealikwa.sasa ulitaka yy aseme nn hapo.
Nikweli hakuna alichoongea ila wanawake sijui mekodiwa au wamekunywa viroba?ni kelele na kushangilia hata.mtu akipiga chafya wao wanashangilia
Akili ya Bawacha ni kama Bavicha tu.... ZeroNikweli hakuna alichoongea ila wanawake sijui mekodiwa au wamekunywa viroba?ni kelele na kushangilia hata.mtu akipiga chafya wao wanashangilia
Kasema ana deka kwa kina mama na kuwa anafurahia MAHABA yao makubwa!!!!! Mh!!!! Kazi kwelikweli
Hiyo ndio speech tuliyoitiwa tena ikarushwa LIVE!!!!!
Hivi mdahalo na Ngosha ni lini??? UKAWA mtamkumbuka mzee Slaa na Lipumba. Wengine mtakataa lakini ndio hivyo.
Hili kongamano lilikuwa na vurugu sijawahi kuona. Mhe. Mbowe ndio aliokoa jahaza angalau ikawa afadhali. Ilikuwa ni Kama sokoni!!!!!
Queen Esther
We kweli hamnazo
Lowasa hajawaita wakina mama Bali yy ndie aliyealikwa.sasa ulitaka yy aseme nn hapo.
Hao wenye maneno mengi zaidi ya miaka 50 sasa wamefanya nini!!? hata MUNGU alishatuonya tusiwe watu wa maneno mengi 'NDIO" au "HAPANA" na kama unaweza kufafanua jambo kwa maelezo kidogo yatosha zaidi ya hapo ni UONGOCjaona cha maana hata kimoja alichowaambia, kaishia kuimba ti nselemaaa na kurudia hoja zaidi ya mara 2, Lowassa pumba kabisa. Eti wakamtafutie yye kura, unashindwa kuzunguka ufanye kampen unawatuma kina mama, pumbavu sana.