Wote mnaoshabikia CCM mmelogwa. Nakubaliana na mwanasiasa aliesema tunahitaji hospitali ya waliologeka . Mimi nasema...tunahitaji hospitali ya maCCM!
YÃ-ani kazi ipo!! Wewe huelewi nini!? Lowasa ataongozww na sera za UKAWA hivyo utumbo huu futa akilini kwako!CCM siyo sufuria ni chama na chama ni watu akiwemo Lowasa. Kama CCM ni chafu nae Lowasa ni mchafu bila shaka na hawezi takata kwa kuhamia CHADEMA. Tatizo watanzania ni wepesi wa kuyumbishwa sana na mara nyingi hushabikia vitu bila tahadhari na kujiuliza mambo maswali magumu. Poleni sana. Huu ushabiki mliufanya 2005 mnataka kuurudia tena then mje mlalamike kina Rostam wakianza kupiga bingo kwenye GAS? Mmesahau hata kina Karamagi waliojigawia bandari yetu kwa miaka 25 wako nyuma ya huyu? Habu fikirieni kwanza.
Wewe unaemshabikia lowasa kisa yuko chadema hata chama chenyewe hakijui ndo umelogwa tena aliekuloga keshakufa lowasa kakaa ccm muda gani na ufisadi wote ulotokea kwenye inchi hii ulishawahi kumsikia kaukemeaa katiba mpya chadema waliondoka yeye aliondoka yule ni ccm damu chadema kafata uraisi tu na akishindwa sijui itakuaje!
YÃ-ani kazi ipo!! Wewe huelewi nini!? Lowasa ataongozww na sera za UKAWA hivyo utumbo huu futa akilini kwako!
Kama ni hivyo basi TISS in wanafiki wakubwa. Kwanini hawakutafuta ushahidi alipokuwa CCM? Mtahangaika sana mwaka huu
Naungana na Dr Slaa kukataa huo uchafu walioukaribisha kwenye chama chetu. Sisi wanachama waadilifu wa chadema tunajadiliana kufungua kesi mahakamani kumzuia lowasa kugombea urais kwa tiketi ya chama chetu.
poleni.kama tukimkataa Lowasa kwa sababu ni mchafu basi hata akitubu Mungu hatamkubali,hakuna njia nyingine ya kuondoa hawa majambazi madarakani tusipomkubali Lowasa,nawahakikishia ccm itashinda uchaguzi mkuu kama kawaida na itatawala tena miaka kumi na Magufuli atafanya kazi na walewale maana hawana jipya,Lowasa atatusaidia kuiondoa ccm halafu tugeukiane baada ya ccm kuzikwa,hapo ndiyo tutaona njia
Huna unachokijua na Kazi ya hao jamaa ni ya KUTUKUKA ndani na nje ya nchi. Vinginevyo wasingekubalika sana Israel, China, Uingereza na Marekani hadi wanaamua kufanya exchange programs na TISS. Hivi mzungu huwa anamkubali mwafrika tu mjinga mjinga? Chezea IDARA au TAASISI zote hapa Tanzania ila IHESHIMU TISS.
yani hata mfanyeje mi napenda kuwaambia kuwa bila sisi kuomba sana kwa mwenyezi mungu basi tanzania itakuwa chini ya freemason na hii ni kweli we ona watu wanavyomkubali lowassa yani tumeshaingiwa na pepo mbaya sasa