Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,629
Reaction score
6,812
Ujumbe huu wa Theo Mutahaba (kumbuka alifanya hivi nyakati za Zitto) uliosambazwa kwa wanahabari:
 
kama tukimkataa Lowasa kwa sababu ni mchafu basi hata akitubu Mungu hatamkubali,hakuna njia nyingine ya kuondoa hawa majambazi madarakani tusipomkubali Lowasa,nawahakikishia ccm itashinda uchaguzi mkuu kama kawaida na itatawala tena miaka kumi na Magufuli atafanya kazi na walewale maana hawana jipya,Lowasa atatusaidia kuiondoa ccm halafu tugeukiane baada ya ccm kuzikwa,hapo ndiyo tutaona njia
 
TISS iliyopo ni kung'orea Meno watetea haki,sio wanaotaka kuondoa CCM madarakani.mlikuwa wapi wakati wapinzani wanapigwa,wanabambikizwa kesi,mbona rating ya Dr Slaa kwenye Uraisi ni ndogo kulinganisha na EL kwa mujibu wa Tafiti? Hizo ni propaganda mgando,kwanini ushauri uletwe humu?!!
 
hii nchi ni ya wananchi kama wananchi wanamkubali hzo takataka zote ulizoandika hazna maana

masi dada yawezekana kuna kitu flan usichokijua kuhusu TISS na mtu kuingia ikulu..
Lowasa tunajua mnamkubali lakn hawezi kuingia ikulu kwanamna yoyote ile
 
Last edited by a moderator:
Reactions: DSN
Sasa mkuu kwani mumzuie lowasa agombanie,,,hiyo itaionesha kwamba wanamuogopa Lowasa.Na kwa taarifa yako jana hiko kikao unachosema kilikuwa bluff tu,,,mikakati mikubwa ni kutisha media na kumtumia Mtikila ilikwama,,,,,,yaani leo hadi bossi wangu kasema utaratibu umebadilika yaani hakuna morning briefing tena ndani ya boti letu....nadhani kikubwa kibaya ambacho kinahangaikiwa ni kuidentify na kuisolate all the inflitrators within...na mabossi wanalaumiwa maana wao walianticipate akitoka atatoka na sympathizers wake within kumbe ile ilikuwa chaka ambayo ilifeediwa na El inflitrators.But anyhow lowasa sio kivile ni kwamba hofu ipo kwenye spillover effect ya majimboni.
 
Hamjui chadomo ni chama la mafisadi na watu wenye uchu wa pesaa?wameona wamchukue lowasa ili wamuibie vizuri kwa kumpamba na kumpa kiti cha ugombea urais...kweli wajinga wataliwa sana but CCM nyie mamburura mtangoja sanaaaa.....
 
masi dada yawezekana kuna kitu flan usichokijua kuhusu TISS na mtu kuingia ikulu..
Lowasa tunajua mnamkubali lakn hawezi kuingia ikulu kwanamna yoyote ile
wanaanchi ndo wenye nchi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…