Borat69
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,526
- 1,757
Kwa uelewa wangu mdogo najua IKULU ni moja tu. Ni makazi na ofisi ya Rais wa nchi. Sidhani Kama kuna kitu Kama "IKULU ya PM"!!Ni mahali anapolala, anapokula, kufua nguo na kuishi Waziri Mkuu wakati yupo madarakani, ni miji miwili tu.