Edward Lowassa aungwa mkono na Wamarekani (USA)

Leo Majira ya saa nne asubuhi nilipokuwa karibu na ubalozi wa marekani nikaona tunasimamishwa kupisha msafara wa balozi wa marekani , Okello baada ya kupisha nikaamua kuufuatilia kwa nyuma, majira ya saa tano hivi Hyatt Regency hotel balozi wa Marekani Mh. Mark Childress alikuwa na kikao na Mh Edward lowassa Mbunge wa Monduli.

Katika kikao hicho walicho kaa wawili hao ni dhahiri wamarekani wameamua kumuunga mkono katika mbio za Kuwakomboa watanzania.

Hivyo wale waakili kubwa ni kwamba wababe wa dunia wanaanza negotiation mapema na Simba wa siasa mwenye maamuzi magumu mapema wasije wakaambulia yalio wakuta waingereza walipo jaribu kuwatikisa watanzania pale Edward Lowassa alipo amua kanda ya ziwa wapate Maji kutoka Victoria..

Kaa Mkao wa Maamuzi na Matumaini mapya.

John Okello ninae omboleza kifo cha Betty Ndenjembi.
Basi kama hivyo ndivyo? agombee uraisi wake marekani na aendelee na sera zake za kununua wajumbe huko!vote 4 america vote 4 Lowassa!badala yakutuambia wa TZ wanamkubali? Unasema wa marekani wanamkubali?kindly revisit your mind...
 
Mnajidanganya haitatokea Edward Lowasa akawa rais wa Tanzania watanzania tumechoka kutawaliwa na kuongozwa na mafisadi kama Lowasa kama wamerekani wanampenda akawe rais wao lakini si kwetu Tanzania.Vijana wachumia tumbo mnakazi kweli kweli kumsafisha Lowasa huyo jamaa hasafishiki wala hakubaliki mnao mkubali ni nyie wachumia tumbo na mafisadi.
Majambazi wazoefu!no this time wachagueni kwenye club zenu za chai na whisky but not this country anymore!tumeshachoka kuibiwa!
 
... what kind of reasoning is this?!!!
Thanks big mind mzee Mwanakijiji!were tired the resoucers of this country not for sale anymore!there is no where huyo mzee wao alipoweka maslahi ya wa TZ mbele kwenye sinema yote ya richmond now dowans!zaidi yakuweka maslahi yake na marafiki!kweli leo tumpe uraisi? Si nasisi wa TZ wote tutauzwa!hafai kwa masika wala kiangazi
 
Leo Majira ya saa nne asubuhi nilipokuwa karibu na ubalozi wa marekani nikaona tunasimamishwa kupisha msafara wa balozi wa marekani , Okello baada ya kupisha nikaamua kuufuatilia kwa nyuma, majira ya saa tano hivi Hyatt Regency hotel balozi wa Marekani Mh. Mark Childress alikuwa na kikao na Mh Edward lowassa Mbunge wa Monduli.

Katika kikao hicho walicho kaa wawili hao ni dhahiri wamarekani wameamua kumuunga mkono katika mbio za Kuwakomboa watanzania.

Hivyo wale waakili kubwa ni kwamba wababe wa dunia wanaanza negotiation mapema na Simba wa siasa mwenye maamuzi magumu mapema wasije wakaambulia yalio wakuta waingereza walipo jaribu kuwatikisa watanzania pale Edward Lowassa alipo amua kanda ya ziwa wapate Maji kutoka Victoria..

Kaa Mkao wa Maamuzi na Matumaini mapya.

John Okello ninae omboleza kifo cha Betty Ndenjembi.

Sio bure utakuwa na faili Mirembe wewe. Unauza nyama iliyovunda kwenye bucha. Sijui hao wateja utawapata wapi. Labda wale wenzio wa Mirembe.
 
Hilo begi alilobeba....balozi...!? Kaja nalo ndo anaondoka ama kalikuta hapo ndo anaondoka nalo ama ndo anaingia na ameliacha hapo...!?

Hilo swali nimejiuliza pia, isijekuwa alileta mchango wake wa kampeni
 
Back
Top Bottom