Prove me to be wrong.Kama wewe una utambuzi basi wewe si Mtanzania kama ni Mtanzania umesahau wajibu wako kwa Taifa hili vinginevyo ni wale wa kushiba leo na kutojali uwepo wa kesho.
hahahahahahhaahahahh mwizi apiganiwe na wamarekani labda anamwuliza richmond alikutana nayo wapi mzee wa richmondoli
Sawa sikatai hoja yako mkuu(John Okello), maana atakuwa Rais wa Wamarekani waishio Tanzania.
sijui umelambishwa ngapi wakati wenzako wanazikataaFikiri kwa kutumia ubongo....
wacha laki si pesa Diamond katishiwa 500m ww unaota laki[SIZE=4 said:laki si pesa[/SIZE];11671204]lowasa ni rais anaesubiri kuapishwa october
Fikiri kwa kutumia ubongo....
Wote tungefikiria kama wewe jamiiforum ingekuwa sanalowassa ni mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje...sijui kama vina uhusiano hapa,may be personal conversation.
Nimeshakuelewa.Anglia arguments zako utajielewa..
... wamarikani wakikukubali, we jiandae kuapishwa tu !!!
Basi itabidi akawaongoze hao hao wamarekani wanaomkubali zaidi!Leo Majira ya saa nne asubuhi nilipokuwa karibu na ubalozi wa marekani nikaona tunasimamishwa kupisha msafara wa balozi wa marekani , Okello baada ya kupisha nikaamua kuufuatilia kwa nyuma, majira ya saa tano hivi Hyatt Regency hotel balozi wa Marekani Mh. Mark Childress alikuwa na kikao na Mh Edward lowassa Mbunge wa Monduli.
Katika kikao hicho walicho kaa wawili hao ni dhahiri wamarekani wameamua kumuunga mkono katika mbio za Kuwakomboa watanzania.
Hivyo wale waakili kubwa ni kwamba wababe wa dunia wanaanza negotiation mapema na Simba wa siasa mwenye maamuzi magumu mapema wasije wakaambulia yalio wakuta waingereza walipo jaribu kuwatikisa watanzania pale Edward Lowassa alipo amua kanda ya ziwa wapate Maji kutoka Victoria..
Kaa Mkao wa Maamuzi na Matumaini mapya.
John Okello ninae omboleza kifo cha Betty Ndenjembi.
lowasa anauwezo wa kuongoza
Aisee nyie watu mnaniboa kweli, mna bahati siwaoni na siwajui. Lowasa hawezi kuwa rais wa hii nchi, MTAKE MSITAKE, EL HAWEZI KUWA RAIS WA NCHI HII.
Lowasa na jk ni walewale tu. Kwa sasa yoyote atakayetoka ndani ya ccm matatizo ni yaleyale tu hakuna jipya. Any way tunaomba mwenye cv ya lowasa atuwekee hapa jamvini tafadhali.