John Okello
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 459
- 207
Leo Majira ya saa nne asubuhi nilipokuwa karibu na ubalozi wa marekani nikaona tunasimamishwa kupisha msafara wa balozi wa marekani , Okello baada ya kupisha nikaamua kuufuatilia kwa nyuma, majira ya saa tano hivi Hyatt Regency hotel balozi wa Marekani Mh. Mark Childress alikuwa na kikao na Mh Edward lowassa Mbunge wa Monduli.
Katika kikao hicho walicho kaa wawili hao ni dhahiri wamarekani wameamua kumuunga mkono katika mbio za Kuwakomboa watanzania.
Hivyo wale waakili kubwa ni kwamba wababe wa dunia wanaanza negotiation mapema na Simba wa siasa mwenye maamuzi magumu mapema wasije wakaambulia yalio wakuta waingereza walipo jaribu kuwatikisa watanzania pale Edward Lowassa alipo amua kanda ya ziwa wapate Maji kutoka Victoria..
Kaa Mkao wa Maamuzi na Matumaini mapya.
John Okello ninae omboleza kifo cha Betty Ndenjembi.