nyilaegenge
Senior Member
- Apr 13, 2014
- 198
- 105
U S A hawana Rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu by the way hata babu Slaa walimpokea vizuri.
hatuwapi mafisadi nchi,atafute njia nyingine.
hatuwapi mafisadi nchi,atafute njia nyingine.
Mnajidanganya haitatokea Edward Lowasa akawa rais wa Tanzania watanzania tumechoka kutawaliwa na kuongozwa na mafisadi kama Lowasa kama wamerekani wanampenda akawe rais wao lakini si kwetu Tanzania.Vijana wachumia tumbo mnakazi kweli kweli kumsafisha Lowasa huyo jamaa hasafishiki wala hakubaliki mnao mkubali ni nyie wachumia tumbo na mafisadi.
U S A hawana Rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu by the way hata babu Slaa walimpokea vizuri.
hatuwapi mafisadi nchi,atafute njia nyingine.
Hahhahahhahah unapopitwa mbinu ongeza mbio Lowassa amefika getini...
Unapokosa hoja chill... EL magogoni
Wewe! Marekani sio wapumbavu hata siku moja. Chomelea hilo kwenye ubongo wako! Alafu kumbe wewe fyatu, unatuletea mambo ya kufuatilia foleni kwa nyuma kutuambia upumbavu! Sijui kawapa sumu gani huyu babu.
anajisumbua tu!,membe ndio rais ajaye
rais wasira2015View attachment 218804
Utasubiri sana Wamarekani tumewahesabu...
Yaani kwa wanaopigania urais kwa tiketi ya sisiemu, afadhari Wassira, Pinda, au Membe ingawa siwakubali ila nafikiri mara 100 ni bora zaidi ya EL. EL Anatumia nguvu sana, inanipa mashaka anataka nini zaidi? Na pia ni mchafu. Ningepigia sisiemu kura kama tu angesimama Magufuli au Mwakyembe.
hapeless waukweli huyo membe amuongoze nani sasa hana hata sifa ya kua rais labda awe rais wa bandHahhahahhaha hopeless
Labda mwakyembe ndo ana faa halafu waziri mkuu makufuliYaani kwa wanaopigania urais kwa tiketi ya sisiemu, afadhari Wassira, Pinda, au Membe ingawa siwakubali ila nafikiri mara 100 ni bora zaidi ya EL. EL Anatumia nguvu sana, inanipa mashaka anataka nini zaidi? Na pia ni mchafu. Ningepigia sisiemu kura kama tu angesimama Magufuli au Mwakyembe.
Leo Majira ya saa nne asubuhi nilipokuwa karibu na ubalozi wa marekani nikaona tunasimamishwa kupisha msafara wa balozi wa marekani , Okello baada ya kupisha nikaamua kuufuatilia kwa nyuma, majira ya saa tano hivi Hyatt Regency hotel balozi wa Marekani Mh. Mark Childress alikuwa na kikao na Mh Edward lowassa Mbunge wa Monduli.
Katika kikao hicho walicho kaa wawili hao ni dhahiri wamarekani wameamua kumuunga mkono katika mbio za Kuwakomboa watanzania.
Hivyo wale waakili kubwa ni kwamba wababe wa dunia wanaanza negotiation mapema na Simba wa siasa mwenye maamuzi magumu mapema wasije wakaambulia yalio wakuta waingereza walipo jaribu kuwatikisa watanzania pale Edward Lowassa alipo amua kanda ya ziwa wapate Maji kutoka Victoria..
Kaa Mkao wa Maamuzi na Matumaini mapya.
John Okello ninae omboleza kifo cha Betty Ndenjembi.