Edward Lowassa aumbuka Arumeru Mashariki

Askofu kwa jina au cheo cha kanisani? Kama ni wa madhabauni, tutajieni na kanisa analohudumu
 
wakuu huyu askofu ni wa kanisani au ni yule askofu wa mbuguni aliyekuwa anamwaga hela miaka ya tisini?mleta thread tunaomba ufafanuzi!
 
Kwa mara ya kwanza , naanza kuona nguvu ya Nape dhidi ya Mamvi...
Hadi 2015 , huyu mtu atakua ameshafilisika ama la sivyo atakua Segerea ,
EL ni ugonjwa kwa taifa , sijui UWT na snipers wa Bongo wanasubiria nini aiseee
 
Kama habari hii inaukweli, ninadhani kinachotafutwa siyo uadilifu bali justification ya kumuengua Sioi.
Justication itakayoweza kuhubiriwa kwa wanaArumaru na itakayoweza kunyamazisha kundi lililoupande wa Sioi-maana ni kundi lenye nguvu.
Justification hiyo hiyo italenga kupeleka ujumbe chanya kwa watu kuwa sasa kuna umakini na haki-kitu ambacho SI KWELI!

 
Sasa ni dhahili kwamba kuna mambo mawili pale arumeru mashariki ya waziwazi kama ifuatavyo.
Kwanza kuna UPINZANI KATI YA CCM NA VYAMA MBALIMBALI VYA UPINZANI.
Halafu kuna VITA BAINA YA CCM MONDULI TEAM VS CCM KUJIVUA MAGAMBA TEAM.
Sisi wananchi tutarajie mengi kutoka arumeru mashariki na huu ndio umekuwa mtindo wa ccm kupora uongozi wa nchi kwa Rushwa .na ni ushahidii tosha wa kuwaengua ccm katika kugombea jimbo husika.
 

Kheri wewe umeliona hilo ,maana kunawatu humu wanasema lowasa ni msafi kama mvi zake.

Ubunge wa arumeru ni wa CDM.Unafikiri wananchi walipenda jinsi barabara ilivyotengenezwa haraka ili kupitisha msafara wa raisi!

Ni aibu kwa wana arumeru kuichagua ccm kwa hili.ni fedhea.
 
Usijitoe akili kiasi hicho, bakisha angalau za kuchambia.

teh he he he... jogi bana. watu kama hawa wasikusumbue ni punguani. sasa el asikamatwe yeye nani?
 
I cant believe this movie kama inachezwa hapa Tanzania maana haijawahi kutokea hawa chakula ya wanyalu wakakamatwa wakati mfuga chakula ya wanyalu ni huyu huyu misumu bin mimvi hata takukuru huyo nampongeza sana.
 
Mafisadi wakubwa CcM mtazidi kuumbuka na wingi wa waTz wanaendelea kuona uhuni wenu sasa andaeni makazi ye kukimbilia ifikapo 2015 maana tutawatafuta kwa udi na uvumba pambaf zenu nyie .
 
naomba kujulishwa moja ya sms za lowassa kwenda kwa huyo katibu wa uvccm arumeru.....hii habari ni ya kuhadaa watu ...
 
naomba kujulishwa moja ya sms za lowassa kwenda kwa huyo katibu wa uvccm arumeru.....hii habari ni ya kuhadaa watu ...

Nani wa kuhadaiwa hapa mana bado sijajua unataka tuamiani nini?

Kuna watu ni wasafi kana kwamba wangetajwa humu tungestuka,kwa mr EL nadhani hamna cha kujiuliza.labda mwanae atolee ufafanuzi.
 
Acha uwongo . Lowassa siyo mjinga kiasi hicho yaani badala ya kutumia wapambe yeye mwenyewe ndo atume msg ? Hujanishawishi bado we utakuwa umetumwa . Hajafikia kufanya ujinga mraisi kama huo.
 
Watu wamechoka hata rushwa yenewe haina dhamani tena hela imeshuka dhamani. Time to give up magamba.
Mpaka 2015 Lowasa atabaki na hela tena kweli? na hizi hela anachota wapi?
Kama aliiba haziishi?

Kiona, if Joseph Peter's tale is true, then let's brace for CCM's crash landing, with nose upfront! Lowasa si kwamba aliiba, ila alikuwa anakwapua. Amewekeza sehemu nyingi kiasi kwamba zinazaliana kama uyoga kila kukicha hadi mwanae Freddy anajiona ana ka umungu fulani hivi.
Hii habari kama ni kweli labda itapunguza ukwasi wa Lowasa. Na jana jioni kuna mtu aliandika kwamba EL kapata Stroke; labda ni sababu ya haya mambo.
 
I cant believe this movie kama inachezwa hapa Tanzania maana haijawahi kutokea hawa chakula ya wanyalu wakakamatwa wakati mfuga chakula ya wanyalu ni huyu huyu misumu bin mimvi hata takukuru huyo nampongeza sana.
hivi wabongo bado hamuamini tu kwamba nguvu za lowassa zimekwisha sasa kama za samson wa delila..bado mnadhani ni yule lowassa wa zamani.Sasa hivi lowassa ni sawasawa na nyoka wa kibisa,anatisha tu kwa kuwa ni nyoka jina lakini hana madhara tena
 
Askofu anayezungumziwa kukamatwa si wa kanisani ni askofu mfanya biashara wa mawe kwa hiyo askofu ni jina tu,hata Mathias ni mfanyabiashara wa mawe pia.
 
Askofu anayezungumziwa ni mmasai mmoja semi illetarate ambaye alilala maskini na kuamka tajiri pale alipopata jiwe la Tanzanite la thamani ya mabillioni wakati hakuwa hata na laki mfukoni,kuanzia hapo alianza viroja vingi ,alinunua hotel isyo na parking pale Arusha kama sikosei inaitwa Parson,pia alikuwa supporter mkubwa wa Lyatonga wakati anagombea uraisi kitu kilichomkosanisha na TRA na nusura wamfilisi na tokea hapo alipotea kabisa na ndio sasa anaanza kusikika tena.
 

Huu ni usanii kumkamata msambazaji na hali ya kuwa mtoaji yupo na ushahidi uliowaweka rumande unaweza kuwapeleka rumande hao hao wasambazaji. Haki hii ikiendelea uchaguzi Arumeru utazaa pengo lingine ndani ya chama.
 
Kwa mara ya kwanza , naanza kuona nguvu ya Nape dhidi ya Mamvi...
Hadi 2015 , huyu mtu atakua ameshafilisika ama la sivyo atakua Segerea ,
EL ni ugonjwa kwa taifa , sijui UWT na snipers wa Bongo wanasubiria nini aiseee
Nape ana nguvu wapi? Kila wanachoongea kwenye sekretariet yao muda huohuo Lowasa anaarifiwa, RA anaipata kesho yake gazeti la MTANZANIA linaandika. Hali ni mbaya zaidi kwenye CC ya CCM na vikao vya juu zaidi. Mwambieni JMK atazame upya uteuzi wake wa baadhi ya watu kama January Makamba na Mwigulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…