Wadau, amani iwe kwenu.
Ilikuwa ni jambo lililozoeleka kila unapotune radio ama kuangalia TV au kuperuzi gazeti na hata kuangalia mitandao ya kijamii kusikia ama kuona jina la Lowasa likitawala kwenye media hizo. Hali hiyo iliwaaminisha baadhi ya Watanzania kuwa hakuna mtu muhimu Tanzania kama Edward Lowasa. Tena wengine wanadiriki kusema kuwa eti Magufuli anakalia kiti ambacho si chake.
Cha kushangaza zaidi, tangu tarehe 1 Novemba, jina la Lowasa limepotea ghafla kwenye media nchini. Hii imekuja siku mbili tu baada ya Dr Magufuli kukabidhiwa cheti cha ushindi wa nafasi ya Urais, hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
Kwa sasa ni jambo la kushangaza kuona hata zile media ambazo kila uchwao walikuwa wanatuaminisha kuwa Lowasa ndiye mkuu katika taifa hili wameacha kutangaza habari zake. Mathalan, ITV na Channel Ten, TV zilizokuwa zinatumiwa na Lowasa kama mdomo wake hawajaonesha taarifa yoyote ya Lowasa tangu juzi. Hii ni kusema kuwa TV hizi zimebadili gia angani na sasa wanatumia muda mwingi kutoa habari za Magufuli.
Bye Bye Lowasa.

kama wewe ulivyopotea na kipato chako kupungua kwani habari za lowassa ndio zilikuwa zinakupa ulaji kwa hiyo hii post yako ndio ya mwisho kukupatia kipato kupitia jina la Lowassa.Wadau, amani iwe kwenu.
Ilikuwa ni jambo lililozoeleka kila unapotune radio ama kuangalia TV au kuperuzi gazeti na hata kuangalia mitandao ya kijamii kusikia ama kuona jina la Lowasa likitawala kwenye media hizo. Hali hiyo iliwaaminisha baadhi ya Watanzania kuwa hakuna mtu muhimu Tanzania kama Edward Lowasa. Tena wengine wanadiriki kusema kuwa eti Magufuli anakalia kiti ambacho si chake.
Cha kushangaza zaidi, tangu tarehe 1 Novemba, jina la Lowasa limepotea ghafla kwenye media nchini. Hii imekuja siku mbili tu baada ya Dr Magufuli kukabidhiwa cheti cha ushindi wa nafasi ya Urais, hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
Kwa sasa ni jambo la kushangaza kuona hata zile media ambazo kila uchwao walikuwa wanatuaminisha kuwa Lowasa ndiye mkuu katika taifa hili wameacha kutangaza habari zake. Mathalan, ITV na Channel Ten, TV zilizokuwa zinatumiwa na Lowasa kama mdomo wake hawajaonesha taarifa yoyote ya Lowasa tangu juzi. Hii ni kusema kuwa TV hizi zimebadili gia angani na sasa wanatumia muda mwingi kutoa habari za Magufuli.
Bye Bye Lowasa.
Media zimepiga hela zake za ufisadi vya kutosha....kwa sasa wamemtupa kama toilet paper. Hana ishu tena.
Nitakuwa mchoyo wa fadhira kama nisipo mshukuru Lowassa kwa kuniweza kipesa pia. Wengi mlikuwa mnapoteza muda kumshangilia ila hela yake tumeila sisi. Tangu kutangaza nia Arusha hadi kutafuta wadhamini ndani ya CCM. Mzee Lowassa sitakusahau, kwa kuchoma pesa wewe ni noma sana.
Halafu JF siku hizi haina kitufe cha like. Sijui kimeenda wapi
Mkuu, kumbe ndo maana kuna wakati ulitusaliti kwa muda. Ulimpamba Lowasa kwa muda wa wiki moja tu then ukamgeuka. Aisee wewe ni noma kabisaNitakuwa mchoyo wa fadhira kama nisipo mshukuru Lowassa kwa kuniwezesha kipesa pia. Wengi mlikuwa mnapoteza muda kumshangilia ila hela yake tumeila sisi. Tangu kutangaza nia Arusha hadi kutafuta wadhamini ndani ya CCM. Mzee Lowassa sitakusahau, kwa kuchoma pesa wewe ni noma sana.
Ndio kwanza ameingia rasmi