Edward Lowassa anaitumia vizuri degree yake ya maigizo!

Ng'wamapalala

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
6,811
Reaction score
6,507
Ieleweke Edward Lowassa ana degree in Theatre Arts from the University of Dar es Salaam.

Baada ya uigizaji wake kushtukiwa na Wazee wa CCM (Kitengo) ambao waliamua kulikata jina lake, kwa sasa ameanza maigizo mengine ili kuishinikiza CCM ikae naye kwenye meza moja ili kulinda maslahi yake na wapambe wake.

Tuliona maigizo ya kununua makundi ya vijana, viongozi wa dini na viongozi wa kisiasa wakimiminika nyumbani kwake eti kumuomba akachukue fomu za kugombea Urais. Wengine walifikia mpaka hatua ya kumuita Joshua wa Tanzania ambaye Mungu amemtuma kuwavusha Watanzania mpaka kwenye nchi ya ahadi.

Malengo ya haya maigizo ilikuwa ni kutaka kuishinikiza CCM isiliguse jina lake kwa sababu eti anakubalika ndani na nje ya chama.

Kwa sasa ameanza tena maigizo yale yale katika mtazamo mwingine huku akitumia makundi ya vijana, wanasiasa na viongozi wa CCM ili kuishinika CCM ikae naye meza moja ili kulinda maslahi yake na wapambe wake.

Alianza Mzee Kingunge kwa kuitisha mkutano na waandishi wa habari katika malengo ya kuitisha CCM. Eti bila Lowassa kuwepo kwenye kampeni za CCM, ushindi haupo na kwa maana hiyo, CCM lazima ifanye maridhiano na Lowassa. Wenye fikra pevu wakajiuliza, kwani CCM iko kwenye mapambano na Lowassa?. Kama Lowassa anahisi yuko kwenye mapambano na CCM, basi ni jukumu la Lowassa kukubali yaishe na siyo jukumu la CCM.

Baada ya CCM kumpuuzia Mzee Kingunge, kwa sasa amekuja tena na igizo lingine la kutumia baadhi ya wanchi kama kafara wa kisiasa ambapo tumewaona baadhi ya vijana na madiwani wanajiunga na CHADEMA eti kwa sababu CCM imekata jina la Lowassa. Yaani wanataka kuonyesha CCM itakufa kama haitampigia magoti Lowassa na wapambe wake kwa sababu Lowassa ni mafuriko!

Lowassa na wapambe wake wanatengeneza mazingira ili kupata political bargaining power ndani na nje ya CCM.

CCM inayoongozwa na Mzee Kinana haitishiki kwa sababu imeishazifahamu mbinu na maigizo yote ya Lowassa na wapambe wake.

Kabla ya kulikata jina lake, CCM ilifanya homework kuhusu faida na hasara zake na ikajiridhia kulikata jina lake ni faida kuliko kulibakiza kwenye vikao vya chama. CCM wanafahamu hata faida na hasara ya yeye kuchukua kadi ya chama kingine.

Wakati Lowassa na wapambe wake wanapiga kelele na kusema hakatwi mtu, wenzake ndani ya CCM walikuwa wanafanya kazi ili kufahamu chanzo, sababu na nguvu ya kuweza kuishinikiza CCM katika maamuzi yake.

Hata haya maigizo ya sasa aliyoanza kuyaigiza yatagonga mwamba kama ilivyo kwa maigizo ya mwanzo.

UPDATE
Kudhihirisha kama Lowassa ni nguli wa maigizo, taarifa zimeanza kupatikana zikionyesha madiwani waliohama kwenda CHADEMA ni watatu tofauti na idadi ya madiwani 18 ambao walitangazwa kwenye vyombo vya habari.

Kama haya maigizo pia yatashindikana, kuna uwezekano hata wale walitangaza kuhama tukasikia wamerudi tena CCM.

Video inayoonyesha ufafanuzi kuhusu sakata la Madiwani wa Jimbo la Monduli waliodaiwa kuhamia CHADEMA.

Last edited by a moderator:
Ng'wamapalala

who cares : km anaweza fungulia kumbikumbi around 3m...fanyeni mfanyalo na maigizo yake mwisho wa siku tunawadaka kumbikumbi na hakuna wa kumlaumu.Wakati anawakusanya mlimkebehi hivyohivyo mkamwambia wadhamini wengine apeleke nyumbani,mkadahani anatumia hela n amuda wake baadae nyie muwakombe,jamaa kawapandisha mori nyie mnakenua,sasa hawashushi mori bado mnakenua..mkiamka Wabunge wa kutosha si wenu na madiwani wake...na anapiga vizuri( Yaani mbunge +madiwani wote+Halmmashauri) hakuna hiyo dili ktk ukawa aisee.Na mbaya wanapaiga double blow, wanakwenda ktk chama star ktk UKAWA..kitu kinachomaliza projects za CCM ktk Ukawa.Trust me wanaokimbia si kwa lowasa Tena ila kulinda roho zao kwani CCM imesem aitawashughulikia.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umeelezea vizuri sana...ni kweli kitengo kilishafanya Cost/Benefit analysis za kugeuza mtungi...tukaona benefits ni kubwa zaidi...tumefanya maamuzi sahihi... waacheni UKAWA wafanye maamuzi magumu ya kukinga hilo bakuli la panya na makapi...
 
unajidanganya na huo umbea ktk simu yako.
 
Ng'wamapalala

Kwasasa yanaweza kuonekana ni maigizo na blah blah nyingi nyingi tuu lakini trust me ndugu LOWASSA ni nextlevel na hii ngoma bado mbichi sana
Na kwakuwa ameamua kukaa kimya kiwewe ndio kinaongezeka ccm wanatamani aseme, kusema kunasaidia kujua nini kinaendelea.....jamaa yuko kimya, kimya kabisa na kumbuka kimya kingi kina mshindo mkuu....huu mshindo mkuu ndio homa ya ccm
Kadiri LOWASSA anavyozidi kukaa kimya ndio sintofahamu inavyozidi kutawala ndani ya ccm.....
 
Last edited by a moderator:
Unaonekana mweupe sana kama kamasi we tutusa....

Unafikiri nani msafi CCM kiasi cha Lowassa kuhitaji mazungumzo kulinda maslahi??

Mwinyi kauza loliondo watu wanauwawa kama ndezi....Mwinyi ndo kaingia na IPTL...Mkapa kauza mashirika kwa bei ya kutupa.... kajiuzia Kiwira coal mines kwa bei ya bure... EPA.... Kagoda etc!!!

JK ndo kaileta Richmond tena mlivyokua wapumbavu mmeshindwa tambua Symbion iliyopo Ubungo ndo Richmond imebadilishwa tu jina!!!

Madawa ya kulevya kwa Riz na hongo lukuki toka kwa waaarabu na wachina!!!

Hao kina kinana ndo vinara wa pembe za ndovu na nyara za taifa mpaka meli yake ilikamatwa!!!

Huyo magufuli kauza kwa bei ya bure nyumba za serikali nyingine akahonga kwa nduguze na mahawara!!!!

Nani alinde maslahi ya nani??

Halafu Lowassa ana BA.Ed kwa taarifa yako....

Ng'wamapalala unatia kinyaa kwa huu utumbo wako usio na chembe ya hoja za maana!!!

Ni bora ukae kimya kuliko endelea kulisha watu upumbavu wako....
 
Last edited by a moderator:
Kwasasa yanaweza kuonekana ni maigizo na blah blah nyingi nyingi tuu lakini trust me ndugu LOWASSA ni nextlevel na hii ngoma bado mbichi sana
Na kwakuwa ameamua kukaa kimya kiwewe ndio kinaongezeka ccm wanatamani aseme, kusema kunasaidia kujua nini kinaendelea.....jamaa yuko kimya, kimya kabisa na kumbuka kimya kingi kina mshindo mkuu....huu mshindo mkuu ndio homa ya ccm
Kadiri LOWASSA anavyozidi kukaa kimya ndio sintofahamu inavyozidi kutawala ndani ya ccm.....
Anakuchanganya wewe mwenye akili kama zako keshakatwa hana jipya tena.

Hata inayokufa haiachi kurusha miguu anamalizikia tu.
 
Ieleweke Edward Lowassa ana degree in Theatre Arts from the University of Dar es Salaam.

Hii sio kweli kuwa Lowassa and degree ya usanii (Theatre Arts), bali Lowassa ana degree ya Arts, yaani degree ya mambo ya jamii toka UDSM na Masters ya maendeleo ya jamii toka UK. Tukubaliane tu kuwa Lowassa hafai kwa sababu ya ulaji wake rushwa lakini tusiongezee na uongo unaofanya yote yanayoongelewa kukosa thamani.
 
Ieleweke Edward Lowassa ana degree in Theatre Arts from the University of Dar es Salaam.

Baada ya uigizaji wake kushtukiwa na Wazee wa CCM (Kitengo) ambao waliamua kulikata jina lake, kwa sasa ameanza maigizo mengine ili kuishinikiza CCM ikae naye kwenye meza moja ili kulinda maslahi yake na wapambe wake.

Tuliona maigizo ya kununua makundi ya vijana, viongozi wa dini na viongozi wa kisiasa wakimiminika nyumbani kwake eti kumuomba akachukue fomu za kugombea Urais. Wengine walifikia mpaka hatua ya kumuita Joshua wa Tanzania ambaye Mungu amemtuma kuwavusha Watanzania mpaka kwenye nchi ya ahadi.

Malengo ya haya maigizo ilikuwa ni kutaka kuishinikiza CCM isiliguse jina lake kwa sababu eti anakubalika ndani na nje ya chama.

Kwa sasa ameanza tena maigizo yale yale katika mtazamo mwingine huku akitumia makundi ya vijana, wanasiasa na viongozi wa CCM ili kuishinika CCM ikae naye meza moja ili kulinda maslahi yake na wapambe wake.

Alianza Mzee Kingunge kwa kuitisha mkutano na waandishi wa habari katika malengo ya kuitisha CCM. Eti bila Lowassa kuwepo kwenye kampeni za CCM, ushindi haupo na kwa maana hiyo, CCM lazima ifanye maridhiano na Lowassa.

Baada ya CCM kumpuuzia Mzee Kingunge, kwa sasa amekuja tena na igizo lingine la kutumia baadhi ya wanchi kama kafara wa kisiasa ambapo tumewaona baadhi ya vijana na madiwani wanajiunga na CHADEMA eti kwa sababu CCM imekata jina la Lowassa. Yaani wanataka kuonyesha CCM itakufa kama haitampigia magoti Lowassa na wapambe wake kwa sababu Lowassa ni mafuriko!

Lowassa na wapambe wake wanatengeneza mazingira ili kupata political bargaining power ndani na nje ya CCM.

CCM inayoongozwa na Mzee Kinana haitishiki kwa sababu imeishazifahamu mbinu na maigizo yote ya Lowassa na wapambe wake.

Kabla ya kulikata jina lake, CCM ilifanya homework kuhusu faida na hasara zake na ikajiridhia kulikata jina lake ni faida kuliko kulibakiza kwenye vikao vya chama. CCM wanafahamu hata faida na hasara ya yeye kuchukua kadi ya chama kingine.

Wakati Lowassa na wapambe wake wanapiga kelele na kusema hakatwi mtu, wenzake ndani ya CCM walikuwa wanafanya kazi ili kufahamu chanzo, sababu na nguvu ya kuweza kuishinikiza CCM katika maamuzi yake.

Hata haya maigizo ya sasa aliyoanza kuyaigiza yatagonga mwamba kama ilivyo kwa maigizo ya mwanzo.

kweli mkuu umenena .CCM ni chama cha maigizo .viongozi wote wa ccm wana degree za sanaa.embu tukumbuke igizo la balali kufa na wezi wa epa kuombwa warejeshe walichoiba
 
Hii sio kweli kuwa Lowassa and degree ya usanii (Theatre Arts), bali Lowassa ana degree ya Arts, yaani degree ya mambo ya jamii toka UDSM na Masters ya maendeleo ya jamii toka UK. Tukubaliane tu kuwa Lowassa hafai kwa sababu ya ulaji wake rushwa lakini tusiongezee na uongo unaofanya yote yanayoongelewa kukosa thamani.
Wala hagombei tena kwa hiyo usiumie sana kumchafua...kwa sasa anaweka heshima tuu kufungulia kumbikumbi tuu .
 
Lowassa hana heshima yoyote atakayoipata kwenye historia hasa baada ya kushindwa kwenye nngwe hii ya uraisi. Ila hakuna sababu ya sisi kwa sisi kudanganyana wakati j-forum ni kwa ajili ya kuelimishana a.o.t.
 
Back
Top Bottom