Edward Lowassa anaitumia vizuri degree yake ya maigizo!

Edward Lowassa anaitumia vizuri degree yake ya maigizo!

Lowassa hana heshima yoyote atakayoipata kwenye historia hasa baada ya kushindwa kwenye nngwe hii ya uraisi. Ila hakuna sababu ya sisi kwa sisi kudanganyana wakati j-forum ni kwa ajili ya kuelimishana a.o.t.
Wewe ndie una heshima..sasa naona unajitahidi kujiuza kwa CCM baada ya kukuambia kwamba Hakuna Dili tena UKAWA kwa wehu km nyie.Mzee mwanakijiji unatia kinyaa sana wewe.Ndio mnachofuatia ulaya ili mpate gia ya kuganga njaa bila kuhojiwa?
 
Nicholas,
Nikiangalia maandiko yako mengine unaonekana akili ipo, lakini wakati mwingine unaandika mambo ya kijinga hata kwa mshabiki wa CDM pengine yatamshinda. Jitahidi kidogo kuondoa jazba na kutumia ubongo bila hivyo utabakia kujibishana wewe mwenyewe na key board yako.
 
ccm kuna demokrasia ya hali ya juu kingunge na lowasa wake wanajua.
ukigombea nafasi yoyote ukakatwa ni kawaida unarudi kwenye kundi moja sasa kama unajifanya kichwa ngumu unakua msaliti hufai hata kidogo
 
Ieleweke Edward Lowassa ana degree in Theatre Arts from the University of Dar es Salaam.

Baada ya uigizaji wake kushtukiwa na Wazee wa CCM (Kitengo) ambao waliamua kulikata jina lake, kwa sasa ameanza maigizo mengine ili kuishinikiza CCM ikae naye kwenye meza moja ili kulinda maslahi yake na wapambe wake.

Tuliona maigizo ya kununua makundi ya vijana, viongozi wa dini na viongozi wa kisiasa wakimiminika nyumbani kwake eti kumuomba akachukue fomu za kugombea Urais. Wengine walifikia mpaka hatua ya kumuita Joshua wa Tanzania ambaye Mungu amemtuma kuwavusha Watanzania mpaka kwenye nchi ya ahadi.

Malengo ya haya maigizo ilikuwa ni kutaka kuishinikiza CCM isiliguse jina lake kwa sababu eti anakubalika ndani na nje ya chama.

Kwa sasa ameanza tena maigizo yale yale katika mtazamo mwingine huku akitumia makundi ya vijana, wanasiasa na viongozi wa CCM ili kuishinika CCM ikae naye meza moja ili kulinda maslahi yake na wapambe wake.

Alianza Mzee Kingunge kwa kuitisha mkutano na waandishi wa habari katika malengo ya kuitisha CCM. Eti bila Lowassa kuwepo kwenye kampeni za CCM, ushindi haupo na kwa maana hiyo, CCM lazima ifanye maridhiano na Lowassa.

Baada ya CCM kumpuuzia Mzee Kingunge, kwa sasa amekuja tena na igizo lingine la kutumia baadhi ya wanchi kama kafara wa kisiasa ambapo tumewaona baadhi ya vijana na madiwani wanajiunga na CHADEMA eti kwa sababu CCM imekata jina la Lowassa. Yaani wanataka kuonyesha CCM itakufa kama haitampigia magoti Lowassa na wapambe wake kwa sababu Lowassa ni mafuriko!

Lowassa na wapambe wake wanatengeneza mazingira ili kupata political bargaining power ndani na nje ya CCM.

CCM inayoongozwa na Mzee Kinana haitishiki kwa sababu imeishazifahamu mbinu na maigizo yote ya Lowassa na wapambe wake.

Kabla ya kulikata jina lake, CCM ilifanya homework kuhusu faida na hasara zake na ikajiridhia kulikata jina lake ni faida kuliko kulibakiza kwenye vikao vya chama. CCM wanafahamu hata faida na hasara ya yeye kuchukua kadi ya chama kingine.

Wakati Lowassa na wapambe wake wanapiga kelele na kusema hakatwi mtu, wenzake ndani ya CCM walikuwa wanafanya kazi ili kufahamu chanzo, sababu na nguvu ya kuweza kuishinikiza CCM katika maamuzi yake.

Hata haya maigizo ya sasa aliyoanza kuyaigiza yatagonga mwamba kama ilivyo kwa maigizo ya mwanzo.
Uchambuzi wako ni hafifu na wa upendeleo.

Hata mtu kama mimi nisiyeipenda CCM niliona kuwa utaratibu wenu wa kumpata mgombea Urais ulikuwa, at best, shambolic.
Hata kama mlikuwa mnataka kupitisha "watu wenu" at least mngefanya huku haki ionekane imetendeka ki-CCM CCM!

Kuhusu Lowassa, nadhani kumekuwa na manung'uniko toka kambi yake kuliko kwa wengine simply kwa sababu "aliwekeza" kuliko hao walionyamaza. Hivyo ni budi kuangalia hoja ya msingi badala ya kwanini Lowassa au vijembe na makala za kuganga kidonda kwa juu juu. In fact hao walionyamaza kimya il hali hawajaridhika ni wanafiki tu (another common mark of you).

Mchakato wenu wa kumpata mgombea Urais, kwangu mimi umeakisi na kuwakilisha 100% CCM ilivyo. Kama mnasigina, mnakiuka, mnavunja kanuni, sheria na taratibu mlizojeweka kwa hila na jeuri (ni desturi yenu iwe kwenye Serikali au Bungeni, Mahakamani nk) kwanini mpewe nafasi ya kuendelea kuharibu?

CCM hata mngempitisha huyo Lowassa bado ni CCM tu, mmeoza wote na hamfai kupewa tena dhamana ya kuongoza nchi, imetosha. Wananchi wanatakiwa kuikata CCM "jumla" kwenye sanduku la kura Oktoba.
 
We mtoa mada ulichosahau ni kwamba na wewe umetumia muda mwingi kuandika kuhusu huyohuyo Lowasa.. ina maana na wewe kichwani anakusumbua sana..alafu endelea tu na mtazamo Wako finyu wa kusema Lowasa anaigiza
 
Ieleweke Edward Lowassa ana degree in Theatre Arts from the University of Dar es Salaam.

Baada ya uigizaji wake kushtukiwa na Wazee wa CCM (Kitengo) ambao waliamua kulikata jina lake, kwa sasa ameanza maigizo mengine ili kuishinikiza CCM ikae naye kwenye meza moja ili kulinda maslahi yake na wapambe wake.

Tuliona maigizo ya kununua makundi ya vijana, viongozi wa dini na viongozi wa kisiasa wakimiminika nyumbani kwake eti kumuomba akachukue fomu za kugombea Urais. Wengine walifikia mpaka hatua ya kumuita Joshua wa Tanzania ambaye Mungu amemtuma kuwavusha Watanzania mpaka kwenye nchi ya ahadi.

Malengo ya haya maigizo ilikuwa ni kutaka kuishinikiza CCM isiliguse jina lake kwa sababu eti anakubalika ndani na nje ya chama.

Kwa sasa ameanza tena maigizo yale yale katika mtazamo mwingine huku akitumia makundi ya vijana, wanasiasa na viongozi wa CCM ili kuishinika CCM ikae naye meza moja ili kulinda maslahi yake na wapambe wake.

Alianza Mzee Kingunge kwa kuitisha mkutano na waandishi wa habari katika malengo ya kuitisha CCM. Eti bila Lowassa kuwepo kwenye kampeni za CCM, ushindi haupo na kwa maana hiyo, CCM lazima ifanye maridhiano na Lowassa.

Baada ya CCM kumpuuzia Mzee Kingunge, kwa sasa amekuja tena na igizo lingine la kutumia baadhi ya wanchi kama kafara wa kisiasa ambapo tumewaona baadhi ya vijana na madiwani wanajiunga na CHADEMA eti kwa sababu CCM imekata jina la Lowassa. Yaani wanataka kuonyesha CCM itakufa kama haitampigia magoti Lowassa na wapambe wake kwa sababu Lowassa ni mafuriko!

Lowassa na wapambe wake wanatengeneza mazingira ili kupata political bargaining power ndani na nje ya CCM.

CCM inayoongozwa na Mzee Kinana haitishiki kwa sababu imeishazifahamu mbinu na maigizo yote ya Lowassa na wapambe wake.

Kabla ya kulikata jina lake, CCM ilifanya homework kuhusu faida na hasara zake na ikajiridhia kulikata jina lake ni faida kuliko kulibakiza kwenye vikao vya chama. CCM wanafahamu hata faida na hasara ya yeye kuchukua kadi ya chama kingine.

Wakati Lowassa na wapambe wake wanapiga kelele na kusema hakatwi mtu, wenzake ndani ya CCM walikuwa wanafanya kazi ili kufahamu chanzo, sababu na nguvu ya kuweza kuishinikiza CCM katika maamuzi yake.

Hata haya maigizo ya sasa aliyoanza kuyaigiza yatagonga mwamba kama ilivyo kwa maigizo ya mwanzo.

sikio la kufa halisikia dawa na ww ni 1wapo wa hayo masikio
 
Watu wengi hapa wanafikiri yanayowezekana nchi nyingine hayawezekani Tanzani. Kujifariji.

Nchi nyingine ilikuwaje?

Hapo jirani Kenya, walioiangusha KANU si walikuwa pamoja kwenye KANU hiyo hiyo?

Walipongeza timu ndipo walipoweza kuing'oa KANU.

Shoka lishawekwa kwenye mbuyu, lazima mbuyu wende chini.

Haya ya kusema hana lolote, basi si mumuache aende zake ? Ndipo watakapoisoma namba.
Mwaka magamba imekula kwao , ilishasemwa hapa EL kwa sasa huwezi ukamwacha nje ya siasa za Tanzania na ukajidanganya si chochote.

Wachache wamewadanganya au wamewapora wengi kwenye uteuzi CCM na waendelea kufikiri watawadanganya watanzia wote.

Mmeanguka magamba, wewe mnara mkuu wa ufisadi umeangushwa!!!!
 
ng'wamapalala

who cares : Km anaweza fungulia kumbikumbi around 3m...fanyeni mfanyalo na maigizo yake mwisho wa siku tunawadaka kumbikumbi na hakuna wa kumlaumu.wakati anawakusanya mlimkebehi hivyohivyo mkamwambia wadhamini wengine apeleke nyumbani,mkadahani anatumia hela n amuda wake baadae nyie muwakombe,jamaa kawapandisha mori nyie mnakenua,sasa hawashushi mori bado mnakenua..mkiamka wabunge wa kutosha si wenu na madiwani wake...na anapiga vizuri( yaani mbunge +madiwani wote+halmmashauri) hakuna hiyo dili ktk ukawa aisee.na mbaya wanapaiga double blow, wanakwenda ktk chama star ktk ukawa..kitu kinachomaliza projects za ccm ktk ukawa.trust me wanaokimbia si kwa lowasa tena ila kulinda roho zao kwani ccm imesem aitawashughulikia.

aaaghh, nimerudia weee wala sikuelewi, waenda mbele kisha warudi nyuma, aah ok bhana yawezekana tatizo ni shule yangu ya kata. Ok bhana
 
Mleta mada unatia aibu kwakweli,
SISIEM wote ni waigizaji, ije umuone LE peke yake,
Au umesahau maigizo ya kwamba fweza za ESICUROUW sio za umma
Huku watu wanasimamishwa kazi na wengine kufukuzwa kwa fweza ambazo sio za umma
Acha kujitoa fahamu ndugu yangu
SINA IMANI NA UKAWA
 
Umeahidiwa cheo na wezi wa nyumba za serikali nini? Aka wanunuzi wa boti feki MV Dar es Salaam maana unabwabwaja sana kama kuku anayetaka kutaga.
 
Back
Top Bottom