Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Edward Lowassa leo jumamosi ya tarehe 3 Disemba amezuru katika Ubalozi wa Cuba na kuungana na viongozi wengine duniani kulipa pole taifa la Cuba kwa kuondokewa na muasisi wake na rais wake wa kwanza Ndugu Fidel Castro.