Naomba unielekeze hicho kipengele, nimekwama hapoNdio nishawahi kujaza hiyo
Mkuu hata mimi nimekutana na hii changamoto!ukiweka grading system division hata ukishajaza kila filed zote inakwambia kuna sehemu moja unatakiwa kujaza!!Hapo inabidi ubadili grading system uweke nyengine then upload tu cheti cha form 4 n 6 watajiongeza wenyewe!Wana jamvi naomba msaada ikiwa kuna yeyote aliyeomba hizi scholarship za Turkey. Tatizo langu ni katika kipengele cha education information ambapo nimejaza kila kitu lakini system inaniambia nimebakisha item moja... Nimejaza kila kipengele....naombeni uzoefu wenu tafdahali...deadline n tr 20/02
Wewe umeweka IPI mkuuMkuu hata mimi nimekutana na hii changamoto!ukiweka grading system division hata ukishajaza kila filed zote inakwambia kuna sehemu moja unatakiwa kujaza!!Hapo inabidi ubadili grading system uweke nyengine then upload tu cheti cha form 4 n 6 watajiongeza wenyewe!
kama unaomba masters au PhD cheti cha chuo ndo watakachokiangalia sana.
Scale za matokeo ndio kwenye shida mzee,badilisha scale... alafu jaza chochote uone... itakavyokubali
Tumia 10 point scale jaza tu grade yoyote then upload tu cheti cha form 4 and 6Wewe umeweka IPI mkuu
At least. Hizo details vipi sasa nduguWakuu muda umeongezwa mpaka tr 24
NdioMmefanikiwa kupata scholarship?
Hongeraa. Email walikutumia liniNdio
Kama sijakosea mwez wa 3.Hongeraa. Email walikutumia lini
Niliomba ila sijafanikiwa. Uliomba ya level gani?Kama sijakosea mwez wa 3.
Wewe uliomba au?
Undergraduate. Ila sio mimi mwenyewe nilimuombea mtu tu.Niliomba ila sijafanikiwa. Uliomba ya level gani?