The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,229
- 116,840
Tunaweza sema Edo Kumwembe ni muandishi( a columnist) wa michezo
hasa mpira wa miguu wa kuheshimika
Kama sio maarufu zaidi katika sekta hiyo
umaarufu wake unamfanya hata anapoandika kuhusu siasa na jamii
na kukosoa chochote watu humsikiliza na kukubaliana nae
Juzi kati nilisoma article moja yake kuhusu mpira...baadae nikalipoteza
hilo gazeti la mwanaspoti....
Sasa nikawa natafuta hiyo article kuna kitu nilikua nakumbuka kakisema
nilitaka ku share na watu wengine
Nikaanza kutafuta articles zake online....cha ajabu sikupata kitu
nikaingia kwa blog yake nikakuta haijawa updated since mwaka 2009
nikashangaa sana kwa kweli....
mtu huyu ambae ni maarufu kwa kukosoa saana wengine yeye mwenyewe
haoni huu ubabaishaji anao ufanya?
karne hii kweli unaweza fanya media related job na usipatikane online?
kabisaa? kazi zako watu wakitaka ku share wafanyaje?
au mtu akisafiri nje ya TZ anapataje articles zako?
Kama kuna mtu wa kumwambia amwambie na yeye aache ubabaishaji....