EDN MHINA,ametuabisha kwenye uwakilishi wake wa Tz huko S.Afrika. Soma hapa!

Makaura

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
892
293
Huyu kijana muda huu ndo anahojiwa na Bbc juu ya uwakilish wake huko S. A, sijua hajui kujieleza ama ameteuliwa kifisadi ama hajui kiswahili. Sijui hata kaelezea nini, unaulizwa we umeanzsha mradi gani? Unasema hamna? Sasa amenda kuchukua nini?
 
Wanauita wivu wa kike... The guy is smart na anadeserve hyo chance, we umeanzisha nini kwani cha zaidi??
 
Hebu wekeni vyema nasi tujuee ame wakilishi nini? Maana jamaa dawa wanakinzana...
 
Mbona mi sijui alichokwenda kuniwakilisha huyo mtu, hebu mleta mada tuweke sawa bwana si wote tunaojuwa.
 
Kuna kongamano la vijana wa Africa linalofanyika SA kwa siku mbili, Tanzania tunawawakilishi wawili mmoja wao ndio huyo alieshindwa kujieleza wakati akihojiwa na Ali Mtasa wa BBC.

Jamaa ni kama ameenda kutalii tu SA, hata lengo la kongamano haliju. Anachoulizwa na anachojibu tofauti kabisa.!!
 
Wanauita wivu wa kike... The guy is smart na anadeserve hyo chance, we umeanzisha nini kwani cha zaidi??

Inawezekana ni kwel jamaa yuko smart lakin kutokana na maswali alitokuwa anaulizwa na mtangazaji wa BBC na jinsi alivyoyajibu, mtu hawezi tumia ufaham mkubwa kuweza ku-judge vinginevyo
 
nimeona mahojiano haya na Ally Mtasa wa BBc....kama deligate wa kutoka Tanzania yaani ni mmoja kati ya wawili...Edson Mhina...nasema kabisa hakuwa smart...tena tuliokuwa tunaangalia tulianzisha mjadala mkubwa sana amechaguliawaje huko...sikufurahishwa kupata international media coverage kama ile ya BBc....90 seconds unashindwa kijana kueleezea mambo muhim ya katka masuala yanayowausu.....Hapa ndipo ninapowa fikiria toka zaman vijana kama akina Humphrey Polepole...yaani ishu za vijana ni kama sala..kwao...

Mhina aliulizwa maswali mawili..kwanza anaizungumziaje Hotuba ya Kofii anan...hapo hakuweza kabisa..swali lingne...ni vigezo gani wao waechaguliwa kushirk hii forum..aisee....km delagate mwenyewe hajui...

basi kama ni smart naona tunaitaji smarter ktk hizi international delagation..........
 
Kwa sura ni smart. Lakini kujieleza ameshindwa kabisaaa. Mm nimejiuliza au hajui kiswahili alitaka ahojiwe kwa kingereza. Maana hata mtoto wa darasa la 7 angeweza kuelezea kongamano linahusu nini.
 
mi nimeona bbc akiojiwa yani anasema vigezo vilivyotumika kuwachagua sababu wana miradi anaulizwa yeye ana mradi gani anajibu sina harafu anaanza kujiuma uma na kubabaika.

kwa mtindo huu lazima kenya na waganda waje kuchukua ajira zetu
 
Inawezekana ni kwel jamaa yuko smart lakin kutokana na maswali alitokuwa anaulizwa na mtangazaji wa BBC na jinsi alivyoyajibu, mtu hawezi tumia ufaham mkubwa kuweza ku-judge vinginevyo

That is what STUPID is.
 
nimeona mahojiano haya na Ally Mtasa wa BBc....kama deligate wa kutoka Tanzania yaani ni mmoja kati ya wawili...Edson Mhina...nasema kabisa hakuwa smart...tena tuliokuwa tunaangalia tulianzisha mjadala mkubwa sana amechaguliawaje huko...sikufurahishwa kupata international media coverage kama ile ya BBc....90 seconds unashindwa kijana kueleezea mambo muhim ya katka masuala yanayowausu.....Hapa ndipo ninapowa fikiria toka zaman vijana kama akina Humphrey Polepole...yaani ishu za vijana ni kama sala..kwao...

Mhina aliulizwa maswali mawili..kwanza anaizungumziaje Hotuba ya Kofii anan...hapo hakuweza kabisa..swali lingne...ni vigezo gani wao waechaguliwa kushirk hii forum..aisee....km delagate mwenyewe hajui...

basi kama ni smart naona tunaitaji smarter ktk hizi international delagation..........

Yaan hapo alipojieleza ndo u smart wake umeishia hapo
 
Nimemuoma jana kwenye BBC aisee jamaa kumbe hajui kujieleza vile
 
Huyu kijana muda huu ndo anahojiwa na Bbc juu ya uwakilish wake huko S. A, sijua hajui kujieleza ama ameteuliwa kifisadi ama hajui kiswahili. Sijui hata kaelezea nini, unaulizwa we umeanzsha mradi gani? Unasema hamna? Sasa amenda kuchukua nini?
Yu are noti richabo!!!
 
Kweli mwenyewe nilijiskia vibaya.... hata mtangazaji alimwonea huruma akawa anauliza maswali laini lakini wapi....cjui ni mataa yale yalimzidia maskini.... ila tudimlaum sana.... tulaumu waliomchagua cose walijua udhaifu wake lakin bado walimchagua nafikir pia wanajuana....undugu huo....
 
hivi tukisema Nchi hii imeoza hamuamini? fuatilia alivyo chaguliwa utashangaa.Baba yake ni kiongozi huko ccm!!!
 
Hivi ni kweli hakutaja kigezo alichochaguliwa au mnaleta utashi,t seems Kiswahili kinampiga chenga ila alitaja sababu za kuchaguliwa yeye

Alisema yeye hakuanzisha miradi ila ana mchango mkubwa kwa vijana katika sector ya elimu,pia ameelimisha vijana wengi kupitia TV (nahisi ni kipindi kile alichokuwa ITV)
 
sawa alisema hivyo lakini alikuwa anababaika sana, na je huko kuelimisha ameelimisha kitu gani? mbona hakuvitaja? hata yeye mwenyewe alijiona amechemsha maana mpk mtangazaji anaaga yeye amebaki ameduwaa pale pebeni, mimi mwenyewe amenikera sana. Kama walikuwa wanajua atahojiwa kwa nn wasimfundisha kabla ya kwenda? mbona tanzania kuna mambo mengi sana ya kuelezea?na amesema walikuwa wanaongea na wenzake kuhusu changamoto wanazopata vijana mbona sikusikia kuzitaja? mf madawa ya kulevya yanavyoathiri vijana wa africa angezungumza hilo angeonekana wa maana sana.
 
hivi tukisema Nchi hii imeoza hamuamini? fuatilia alivyo chaguliwa utashangaa.Baba yake ni kiongozi huko ccm!!!

Yaani IMEOZA, IMEOZA ILE MBAYA, NA INATOA HARUFU KALI , tuseme wakati wanampeleka kwa nn wasimfundisha cha kwenda kuongea? ameniboa sana, nilikuwa namuona yuko very smart, kumbe ni wa kuvaa nguo na sura tu Loh!
 
Back
Top Bottom