Habari!.
Naomba kutumia nafasi hii kuwataarifu habari njema watu wote wanaopenda music wa injiri(gospel) Tanzania na africa kwa ujumla .
Nikiwa kwenye hatua za mwisho kukamilisha platform yetu itakayo kua kwenye mfumo wa Application ya simu za android na Ios pamoja na tovuti
Hii ni kwaajiri ya music wa injiri(gospel) itakayo wapa fulsa wasanii wa music huu pia wapenzi kuweza kusikiliza music huu
Kama ilivyo Platform kama deezer ,boom player na spotfy zilizo jikita zaidi kwenye musiki wa kidunia
Ila hii yenyewe ni kwaajiri ya musiki wa injiri tuu!.
Kusifu kuabudu pamoja na mafundisho wa njia sauti
Kama ni muimbaji/msanii mpenzi au hata muumini wa kanisa lenye kwaya ya kanisa pia hii ni fulsa kwako jiunge nasi kwa kundi letu la tellegram ili tuweze kushare pamoja album na audio zetu
Amen.![emoji861][emoji861][emoji861]
Karibuni sana
EDEN MUSIC STORE[emoji3494][emoji977][emoji978][emoji3493]
Eden music is the free gospel music streaming platform
This group have a purpose to gether all gospel singer to shere their song and albums so we can add the to our platform for free.
EDEN MUSIC STORE[emoji3494][emoji977][emoji978][emoji3493]
Sent using
Jamii Forums mobile app