ECONOMICS AND DEVELOPMENT MNMA VS ACCOUNTING IFM IPI BORA?

ECONOMICS AND DEVELOPMENT MNMA VS ACCOUNTING IFM IPI BORA?

wewe acha kufananisha accounting ya ifm na mambo ya kijinga.
 
Ipi nzurr kusoma na mpk soko
Kwani we unataka kusoma nn mm nakumbuka baba yangu aliwai kuniambia soma kile kitu ambacho
1. Unakipenda
2. Utaweza kukifaulu na kuelewa
Alinisihii nisimuulize chochote kuhusu chaguzi za course kwani nikishindwa mbeleno ntaeza mlaumu kua yeye ndo alifanya nisome iyo course.
My take soma kile unahisi u love na kumanage uku kila mtu anatetea upande wake kulingana na ugali wake anapata vip
 
Back
Top Bottom