Eckenford Sekondari,Chuo cha Ualimu na Chuo Kikuu kupigwa mnada na NBC kwa kushindwa kulipa deni

Daah, miaka ya 2000 tukiwa advance Tanga Tech shule za Eckenford na Coastal zilitusaidia sana kupunguza ukame wa koromeo la chini...

Anyway,Mungu mnusuru Tarimo na kadhia hii
 
Duiuuh, hii mikopo kama ukiingia kchwakchwa unapoteza kila ktu. Inauma sana.
 
siyo mikopo ni ngoma mkuu
Vidudu vya ngoma huwa vinachachamaa zaidi ukitingwa na mawazo umiza kuliko ukiwa na amani moyoni. Fiatilia, wale waliozikubali hali zao na kuwa na amani wanaishi sana, ila wale kinyume chake mapema sana wanaondoka. Hivyo "Presha inapanda presha" inashuka alikuwa poa tu mpaka pale crdb ilipotangaza kuuza mjengo wake, ndio ikawa balaa.
 
Du Tarimo ameshindwa kabisa kukomboa mali zake.
Wafanyabishara wajanja sana hasa wachaga, wahindi na waarabu. Anakopa mkopo mkubwa sana pengine unakuwa na thamani kuliko hata dhamana yenyewe, hapo anakuwa ameshirikiana huo ufisadi na wakuu wa benki husika. Halafu anakuwa amepanga kabisa kutolipa na kuelekeza mkopo kwenye biashara zingine na anakuwa kama ameridhia dhamana yake iuzwe ila kwa nje ya moyo wake hamuwezi jua.
Rejea kisa cha mabasi ya scandanavia. Yule mwarabu alikopa hela nyingi kwa ajili ya biashara ya mabasi lakini hela akazieleza kwenye biashara kwenye vinu vya kusaga unga. Bado tajiri balaa
 
Hapo kwenye tajiri balaa.... tuonyeshe hilo balaa lake!
 
Hata mwanza mwezi January mmiliki wa shule ya Hillcrest secondary iliyoko Kangaye aliuza majengo na eneo kufidia mkopo wa benki kwa chuo flani cha serikali kilichopo katikati ya mji
 
Back
Top Bottom