barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,874
Chuo kikuu kishiriki cha Eckenford kilichopo mkoani Tanga kinatarajiwa kupigwa mnada pamoja na Taasisi zilizopo chini yake ili kufidia deni wanalodaiwa na Benki ya taifa ya Biashara (NBC).
Kampuni ya udalali ya Bani Investment imetangaza kupiga mnada chuo hicho kilichopo kwenye kiwanja namba 53/2 na 54/2 eneo la Central Tanga. Pia kampuni hiyo itapiga mnada Shule ya sekondari Eckenford na Chuo cha Ualimu Eckenford vilivyopo eneo la Kange, kiwanja namba 12 chenye ukubwa wa Ekari 3.4 za eneo.