Unampigia mtu simu anapokea unaongea inasikia neno ililoongea linajrudia. Na yeye vilevile anasikia lile neno alilozungumza. Hii inafanya mawasiliano yawe ya shida na isitoshe inalipia. Nasikia eti sababu ni kuwa kuna mtu wa kato anasikiliza mawasiliano yenu. Je hii ni kweli? Hata kama kuna mtu wa kati si wataalamu warekebishe mitambo sisi tusisikie hizo echo?