Echo kwenye simu

pembe

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
2,128
701
Unampigia mtu simu anapokea unaongea inasikia neno ililoongea linajrudia. Na yeye vilevile anasikia lile neno alilozungumza. Hii inafanya mawasiliano yawe ya shida na isitoshe inalipia. Nasikia eti sababu ni kuwa kuna mtu wa kato anasikiliza mawasiliano yenu. Je hii ni kweli? Hata kama kuna mtu wa kati si wataalamu warekebishe mitambo sisi tusisikie hizo echo?
 
Inawezekana kabisa unae ongea nae kaweka loud speaker. mi nikiona hivo namwambia akitoa loudspeaker nitampigia tena. Nitabia ambayo siipendi kabisa.
 
Back
Top Bottom