Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,023
- 61,924
Ebu fikiria nje ya box kidogoKujiajiri wengine nini mkuu? Kuiba chaki kuwauzia mafundi cherehani?
Mpaka sasa umechukua hatua gani?Elimu yangu haina msaada wowote katika maisha yangu.
Sawa mkuu,Nikiwa kazini siwezi mudu kufanya ujasiriamali nje ya kazi….hivyo yupo binti niliyemwajiri kuniuzia samaki 🫡Ebu fikiria nje ya box kidogo
Kidogo kidogo utajikuta umeajiri wauza samaki 50Sawa mkuu,Nikiwa kazini siwezi mudu kufanya ujasiriamali nje ya kazi….hivyo yupo binti niliyemwajiri kuniuzia samaki 🫡
Vinakusaidia vipi katika kutengeneza ajira?saiv najua kichina na kingereza
Kwa nini, unahisi elimu uliyonayo ndio imekunyima ujasiri wa kwenda sokoni?Dah h elimu niliyonayo n bora nngeishia form four then nikawe mjasiriamali sokoni Huko
Naona ndo inazidi kunivuruga tuuKwa nini, unahisi elimu uliyonayo ndio imekunyima ujasiri wa kwenda sokoni?
Tatizo linaweza kuwa nini? mitaala ya elimu haikidhi mtu kujiajiri au?Mm sio Mzee. Ila kuna namna naisifu Elimu ya Mkoloni.
Kulikuwa na watu wa fani mbalimbali (ufundi stadi) na watu wa taaluma white collar Job.
Sasa hapa katikat kama taifa hawakuipa kipaumbele Taaluma ya fani mbalimbali na wakaona fani sio mwelekeo sahihi. Wakaelekeza kwenywe wasomi na kutengeneza watu weng wa white collar job ambao pia kazi hazipo za kuwasitiri wote.
Kuna mtu anamaliza SUA.
Ila anasubiria aajiriwe.
Wakat mfano kama amesomea Livestock alitakiwa
Awezeshwe afuge na aelimishe jamii inayomzunguka maana anajua mifugo kwa undan . Na ataleta tija kwa jamii na taifa.
Ila sasa mtu kama huyo anataka aajiriwe. Inafikirisha.
Ila ni kwasababu ametaarishwa hivyo.
Amefundishwa Elimu. Na sio fani.Kwa nini, unahisi elimu uliyonayo ndio imekunyima ujasiri wa kwenda sokoni?
Tatizo linaweza kuwa nini? mitaala ya elimu haikidhi mtu kujiajiri au?
Mawasiliano tuh hamna kingin mm mwenyewe ni mhitimu wa form 6 pamoja na chuo kikuu ila npo kitaa napg mjengo nawazaga bora tu ningeshia tuh form4 nna degree 2 naninaenda ujenz jamanVinakusaidia vipi katika kutengeneza ajira?
Una degree 2?.Mawasiliano tuh hamna kingin mm mwenyewe ni mhitimu wa form 6 pamoja na chuo kikuu ila npo kitaa napg mjengo nawazaga bora tu ningeshia tuh form4 nna degree 2 naninaenda ujenz jaman