Ebu tupiamo picha hapa ya role model wako wangu huyuu

2daa9a8f53cd9adfeef63210ea8edd1e.jpg
 
Wako wengi ila ngoja
1483594289379.jpg
twynn lanister...from game of thrones
1483594361821.jpg
Raymond Reddington from the blacklist series
1483594418737.jpg
lucious lion from the empire
1483594471487.jpg
frank lucas...Huyu maisha yake yameigizwa na Denzel washington kwenye American Gangster
Hawa wote maisha yao yamenifundisha mambo mengi mno ambayo mengi yamenifanya niwe na mafanikio katika maisha

Lannister kanifundisha busara,ubabe Akili na namna ya kucontrol familia

"Red" kanifundisha kuwa mtoto wa mjini kwenye biashara na kutumia maadui zako kusolve biashara zako, kuwa na connection na kutunza siri

Lucious kanifundisha namna ya kuishi na mke mkiwa mnadivorce na namna ya kuwa baba bora na mbabe kwenye mafanikio ya watoto wako na namna ya kudeal na adui zako wa kibiashara

Frank lucas kanifundisha kuwa mbunifu kibiashara,kuwa low profile na namna ya kutengeneza network kwa kutumia watu waaminifu

Wako wengine wengi..
Ila mpaka next tyme!
 
Role model wangu paul makonda ila sina picha yake. Mm ni msanii Napenda sn anavofokafoka!
 
Mie Benjamin William Mkapa!
Amenifundisha Changamoto za Ufupi,ngozi,au vyovyote sio kigezo cha kutokufanikiwa!
Pia ni mafia,hustle,go-getter!
Na pia ana kiingeleza kizuri,mjengo hoja mzuri !
And finally,ni kingmaker!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom