goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,636
- 9,132
Uache ...?
Niache nn ........?? Mkuu
Uache ...?
Namaanisha kwa kuwa mfuasi wa Mungu Isis mwenyewe...Naongelea wale Islamic. ..something ambao kifupi chake wanajiita isis ...sijui tumeelewana ndugu yangu. ..dah!
I got you. ..thanks ndugu yangu. .Namaanisha kwa kuwa mfuasi wa Mungu Isis mwenyewe...
Muongoza film wake ata Simjui wala kumtamani ila jamaa namtamaniHivi role model wa mtu akiwa muigizaji wa movie kama jet li tena ukimuliza kwa nini ni role model wako anakuambia sababu ya mapigano yake, je hapo role model ni muigizaji au muongoza filamu?
Kumbe toka zamani anavaa suti oversize
Sorry koti
Cjui huwa wanalazimishwa kuvaa
nisharudi mkuuManka usharudi?