Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Katika basi mama mmoja altaka kumnyonyesha mtoto, mtoto akakataa, mama akamwambia 'nyonya km hutaki nampa anko anyonye' anko na kaka mmoja ambae ni abiria aliekaa pembeni na huyo mama ,mtoto akanyonya kidogo akaacha..mama akamtishia tena kumpa anko..ndipo yule kaka kwa hasira akahamaki akasema...
'mama hebu kua na msimamo, unajua nmeshapitiliza vituo viwili kwa ajili yako! hebu kua mkweli unanipa ninyonye au nishuke aaah''
Mwisho wa wiki mwema!!!!
'mama hebu kua na msimamo, unajua nmeshapitiliza vituo viwili kwa ajili yako! hebu kua mkweli unanipa ninyonye au nishuke aaah''
Mwisho wa wiki mwema!!!!