EBU CHEKA NA WEWE (from my yahoo mail)

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Katika basi mama mmoja altaka kumnyonyesha mtoto, mtoto akakataa, mama akamwambia 'nyonya km hutaki nampa anko anyonye' anko na kaka mmoja ambae ni abiria aliekaa pembeni na huyo mama ,mtoto akanyonya kidogo akaacha..mama akamtishia tena kumpa anko..ndipo yule kaka kwa hasira akahamaki akasema...
'mama hebu kua na msimamo, unajua nmeshapitiliza vituo viwili kwa ajili yako! hebu kua mkweli unanipa ninyonye au nishuke aaah''

Mwisho wa wiki mwema!!!!

Ila haya ni baadhi tu ya matisho ya kinamama wanapo kuwa na watoto wao! Bg up lakn.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom