Eau de Toilette...

kwa taarifa yako ni yale maji ya choo ya kuflashia.

Ha ha ha, dues ictus les byeyer

teheeee...!
seus dues
amour-propre...
après moi, le déluge...

umenichokoza sasa..niendelee?
 
huijui Simla??

Kuna Yolanda na Yu.

Pafyumu sh mia harufu gunia.

hahahaa...!
ukiogea hapo na REXONA yako...
pembeni una SHANTI ya njanoo...
na iyo kitu yako Simla...nyuki watakufanya mzinga wajenge asali...LOL
 
ha ha ha ha, lazima tukupake kwenye mkate kama asali.

hahahaa...!
ukiogea hapo na REXONA yako...
pembeni una SHANTI ya njanoo...
na iyo kitu yako Simla...nyuki watakufanya mzinga wajenge asali...LOL
 
nyie mwahangaika na sijui eau du parfume, mie kipande cha ndimu chaniosha...nikisugua kwapa langu aaah siku nzima hata nitembee kifua wazi hakuna harufu
 
watu8
hivi harufu ni kwapani tu?
hiyo inabidi usugue hadi kule maeneo...
ili mama yeyo akitaka kutumia microphone asikutane na harufu ya chemba!
 
Last edited by a moderator:

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom