EATV: Inaonesha Hawalipwi vizuri

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,312
Reaction score
103,534
Hawa EATV wana matatizo gani? Inakuwaje watangazaji wake wazuri na MaDJ zake wazuri wote wanakuwa poached na Kampuni nyingine..?
Kaondoka Adrian
Kaondoka Mafuvu
Leo kaondoka DJ D Ommy
 
Kwani ni EATV tuu ndo wafanya kazi wake wanahama mbona makampuni mengi watu wanaenda huku na huku
 
Wengine wanahama kutangaza jina ila wengi wao wanaangalia maslahi
 
D ommy si wa times kweli??? Na kumbuka icho ni chuo kinazalisha watangazaji na dj's wengi mjini
 
Hawa EATV wana matatizo gani? Inakuwaje watangazaji wake wazuri na MaDJ zake wazuri wote wanakuwa poached na Kampuni nyingine..?
Kaondoka Adrian
Kaondoka Mafuvu
Leo kaondoka DJ D Ommy

Hakuna radio ambayo wafanyakazi wake hawahami,hebu tutajie unayoifahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…