toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,627
Wakuu wanajukwaa Jf suluhisho la changamoto za kila namna hapa ndo nyumbani kabisa. Ni hivi hichi kingamuzi sijakitumia takribani miezi 7 sasa.
Mimi ni fundi kiasi kwasababu hata visumbusi huwa sitafuti fundi nafunga tu mwenyewe.
Issue ni kuwa hichi changu kimenishinda akili. Antenna ya nje fresh, waya kila kitu lakini inaandika no signal yaani no auto search haifanyi
Signal strength 0 signal quality 0 nimecheza na kisimbusi mpaka nimechoka! Bado kitu ni hicho hicho tu,
Wakuu jee nakwama wapi? Mnishauri maana nishachoka..
Update
Mrejesho
Ule waya unaotoka kwenye antenna kuelekea kwenye king'amuzi i mean kile kichuma kinachochomekwa kwenye king'amuzi kinachokua kimeungwa na waya wa antenna ndo kilikua na tatizo hivyo nimetoa kile kichuma na kuweka kingine hapo hapo king'amuzi kikafanya auto search na ghafla channel zikaingia zote 77