tcra majanga sana sijui twende wapiMm binafsi piga Ua, Hata Channel zote za Kibongo wakiamua ku-izira Easy TV, sitohama kwani wao Ndio walio niloninywesha Maji ya Digitali kabla hata ya Hao TCRA hawajaamua hii Nchi iingie katika Mfumo wa Kidigitalia.
Pamoja na kutokuwa na Customer Care lakini Huduma zao ni Superb kuliko Ving'amuzi vingine achilia Mbali Baba-lao ambao ni DSTV
TCRA ni ndumi la kuwili kwani walishatoa tamko kuwa Kila Kisambuzi kitakacho pewa leseni lazima wahakikishe kuwa wanarusha Channel za Nyumbani zote.
Ufuatiiaji umekuwa ZIRO.
Kesho lazima niwaibukie wanipe majibu ya kueleweka
Mkuu sikupata muda wa kupitia ila lazima niwabukie la sivyo wturudishie chetu twarudisjie dekoda yaoMimi nimekwenda kwa wakala wao akaniambia kuwa amewasiliana nao wakamwambia kuwa channel hizo labda zinaweza kurudi baada ya wiki moja. Neno "labda" limenikatisha tamaa kabisa.
Ilikuwa hivi hivi ilipopotea hewani Startv. Kama ukipata mda ebu pitia kwa ofisi zao utuletee majibu ya kueleweka
hivi kuna anaejua undani wa Easy TV? Ofisi yao kuu iko wp? Inamilikiwa na nani? Na makeke yangu yooote bado sijawahi kukutana na mtu anasema anafanya kazi ofisi zao hata kwa kupitia rafiki wa rafiki yake rafiki yangu...mweeee:hand: