Aisee bana mi bado naiwazia ile $25,000 credit card. Yaani kama najiona nime mjoin brazameni huko Brazil....lol
Back to the topic.....
Mimi nafikiri lawama kubwa zinapaswa kutupia serikali. Serikali inatakiwa iweke regulations ambazo zitakuwa fair to both parts.
Hatuwezi kuwalaumu Easy Finance, kwa sababu wako pale for profit. Kwa hiyo as long as hawaendeshi biashara yao kinyume cha sheria, hawastahili lawama yoyote.
Pia, hatuwezi kuwalaumu wateja. Kama inavyojulikana, wateja wanaenda kwenye finance companies kama Easy Finance kwa sababu ya desparations. Na mtu yoyote aliyekuwa desparate hatengi muda wa kuangalia risk zilizozunguka kwa undani zaidi. Sote twajua hilo.
Kwa hiyo ni serikali ndio inatakiwa i-regulate biashara kama hizi....
1) Biashara ya Casino nayo hayamsaidii mtu yoyote na wala haileti maendeleo
2) Vile vile unapo azima hela Easy finance its at ur own risk
3) 70%inarudi in Tax, be serious my friend!!!
4) Marekani ukichukua gari on finance mbona kama hulipi wanakuletea repo man.
I think you need to come up with a better justification so i am asking you again why are ppl attacking high intrest loan providers who take higher risks than back and not casinos which coz more destruction to societies than them???
Hawa jamaa wa Easy Finance walichukua magari ya watu wengi mno walioshindwa kurudisha mkopo. Matokeo yake walipoona yanarundikana wakaanzisha kampuni Car Hire inaitwa TRAVEL MATE!!!
Hawa jamaa wa Easy Finance walichukua magari ya watu wengi mno walioshindwa kurudisha mkopo. Matokeo yake walipoona yanarundikana wakaanzisha kampuni Car Hire inaitwa TRAVEL MATE!!!
Not true.Yes kuna wakati ilisemekana kuwa Mkurugenzi mkuu wa Easy Finance,Kassanga,ana shares Travel Mate,ukweli wake siujui.Lakini huyo mwenye travel mate alifaidika na wizi uliofanyika zamani ukimuhusu Mkurugenzi Mkuu wa Easy Finance mpaka kufukuzwa kazi Standard Chattered Bank.
Hawa jamaa wa Easy Finance walichukua magari ya watu wengi mno walioshindwa kurudisha mkopo. Matokeo yake walipoona yanarundikana wakaanzisha kampuni Car Hire inaitwa TRAVEL MATE!!!
Then you can connect the dots........!!!
Bottom line is that Easy Finance has never to date forced anyone to take a loan with them, even though clients knew the terms and conditions, interest rates, security and procedures they still went for loans. There are people who have borrowed and repaid from Easy finance at that time they had no other alternative; naturally as with any lending facilities there are also those who have defaulted and had their security liquidated. There is always people who want quick and easy fixes in life Easy finance did not create this demand, it was there from the beginining... They saw a gap and they went for it!!! Blame capitalism not easy finance, you know wat they say right?? Dont hate the player hate the game.....
Uzushi!
Ukiambiwa thibitisha utaweza?
Basi naomba kurekebisha kauli yangu na isomeke hivi......"INASEMEKANA kwamba wamiliki wa Easy Finance ndio wenye Travel Mate"
Halafu, mbona wengine mnakuwa wakali sana humu? Au mna hisa Easy Finance nini?
Sasa wamiliki wa Easy Finance ndio wenye Travel Mate, what conclusion/message do you want to make here? any way asante kwa taarifa.
Basi naomba kurekebisha kauli yangu na isomeke hivi......"INASEMEKANA kwamba wamiliki wa Easy Finance ndio wenye Travel Mate"
Halafu, mbona wengine mnakuwa wakali sana humu? Au mna hisa Easy Finance nini?
Isaac Kassanga is not the true owner of Easy Finance.There are two guys behind it,who are happy to lie low and their office is there.Kuna rumours kuwa Isaac Kassanga wants to step down.He has been put there as Chairman and CEO because of his experience within the banking industry especially kwenye mambo ya mikopo

Tupe majina ya hao jamaa tuwajue.