East Africa to adopt One Network Area, call rates to drop

East Africa to adopt One Network Area, call rates to drop

Asikudanganye mtu eti matatizo yenu yametokana na kukosa mikopo, kwa uhakika matatizo yenu ni uvivu, uoga na kutojiamini. Wageni wengi wanaingia Bongo na kutengeneza hela nyingi sana bila kutegemea hiyo mikopo. Eti unasema Mkenya akija Bongo hatoweza kujenga nyumba, hivi wewe uko Tanzania ama wapi maana wakati mwingine huwa unaandika nakuona kama wale Watanzania watumwa kule UK wasiojua chochote nyumbani.

Wahindi, Wachina, Wakenya na Waarabu wapo kwenye ushindani mkubwa sana Tanzania, wewe baki hapo ukisubiri mkopo.
You guys are very funny pale kila wakati mnapotaka kujionesha you're simply the best! Kila nikitafakari wala sioni huo u-best mnaojigamba kuwa nao... too bad, bado mna mawazo yale yale ya miaka ya 90 kurudi nyuma ambako Tanzania tulitegemea mambo mengi kutoka Kenya ambayo kimsingi ni hali iliyokuwa imesababishwa na economic mode tuliyokuwa tunaifuata! In those old days, tofauti kati ya Kenya ilikuwa almost ni kama mbingu na ardhi; hiyo kitu hamna tena na watafiti wa uchumi wanafahamu kabisa kwamba it's just a matter of time... Ethiopia wameshawaacha... stay tuned.

Hilo la uvivu ni sort of cra'ps ambayo Wakenya wanaitumia sana... this's nonsense coz' hakuna asiyefahamu for couple of years now Wakenya wamekuwa wakivuka kufuata mahindi Tanzania baada kukumbwa na upungufu mkubwa huko kwenu! Ni upuuzi kusema X ni mvivu as compared to Y wakat ni huyo Y ndie huwa anakumbwa na uhaba wa chakula na kwenda kupiga magoti kwa huyo X anaysemwa mvivu! Kipimo kikubwa kabisa kwa nchi kustahili taji la uvivu ni pale inaposhindwa hata kujilisha yenyewe.

To make story short, Tanzania inalinda maslahi yake ni mpuuzi tu atakayeona kulinda maslahi ni kuogopa! Kila taifa linalojitambua lazima lilinde maslahi yake na kama kulinda maslahi ni uoga let it be but do expect no one to follow what you want only because if we do it otherwise tutaonekana ni wavivu!
 
..they r not sharp.

..tofauti yetu na wao inatokana na wao kuwa na access ya mikopo ya biashara kwa muda mrefu.

..kinyume chake wabongo kwa muda mrefu wamekuwa wanafanya biashara kwa kutumia savings zao wenyewe, na wakati mwingine wanalazimika kufisadi hapa na pale ili kupata mitaji.

..wabongo hawa wanao-serve kwa miaka 10 mpaka 15 na kujenga nyumba unafikiri watashindwa kujengwa wakipewa mikopo kama ndugu zao wa-Kenya? Now, bring a Kenyan to Tz halafu mwambie ajenge kama tunavyofanya sisi uone kama ataweza.

..kuhusu ardhi hivi hujaona mapigano kati ya wakulima na wafugaji yanayoendelea? mimi nadhani it is safer kutokuruhusu ardhi yetu kuwa ya Afrika Mashariki mpaka pale tutakapoweza kudhibiti hii migogoro baina yetu hapa nyumbani.

..mwisho, nakubaliana na mtizamo wako kuhusu umuhimu wa kuboresha elimu yetu. IMHO, matatizo yetu ni ya ndani zaidi na sidhani kama intergration ndiyo muarubaini/panacea ya matatizo hayo.

cc nyumba kubwa, Nguruvi3, msemakweli, Ngongo, NasDaz, Kibona
Umesema yote ila niongeze tu hilo la ardhi! Watu tunapenda kuangalia mambo juu sawa na mdau mmoja siku aliposema TANESCO haina sababu ya kuzalisha maelfu ya unit mpya za umeme coz' kuna hatari ukakosa matumizi kwa kile alichodhani huo umeme ni mwingi mno kwa uchumi wa Tanzania... mdau huyu alisahau kwamba hata kuwapo kwa bei kubwa ya umeme kunatokana na kutokuwa na umeme wa kutosha hivyo unachaji high price kwa ajili ya ku-discourage matumizi makubwa ya umeme... matumizi ambayo leo hii unaweza kuzunguka mtaa mzima ukakosa mtu anayetumia jiko la umeme... si kwa sababu wote hao hawana uwezo wa kununua majiko ya umeme bali wanaogopa gharama kubwa za umeme!

Tukija hilo suala la ardhi; kama ulivyosema, hata hapa nchini tayari kuna mifarakano kila mahali kuhusu ardhi kati ya wakulima na wafugaji... this's enough kuliko kukaribisha mifarakano mingine ya ziada! Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuhoji hapa hapa jamvini ikiwa ni kweli Tanzania tuna ardhi ya kutosha na si kwamba hatuna akili ya kutosha ya kutumia ardhi hiyo! Nilitoa changamoto kila mmoja hapa ataje ana hekari ngapi za ardhi aliyoipata kwa jasho lake mwenyewe na sio ya kurithi! Wengi ambao tunaimba tuna ardhi ya kubwa hatuna hata nusu ekari na ikiwa kila mmoja leo ataamuka na kutaka kuwa na japo ekari moja, haitachukua muda kubaini kwamba kumbe si kwamba tuna ardhi ya kutosha bali tulikuwa hatuna akili ya kutosha ya kuitumia ardhi yetu!
 
..wa-Tz hawasubiri mikopo, wanadunda kibongo-bongo na wako wengi tu wamefanikiwa.

..mimi ni mmoja kati ya wa-Tz tunaoamini kwamba we are more resilient, and hard working, compared to our brothers and sisters from Kenya.
Mkuu umenigusa hapo nilipo bold.
Hapa ningependa kukumbusha old school kidogo

Kuvunjika kwa EAC1977 kwa kiasi fulani kulitusaidia sana.
Baada ya kuvunjika kwa jumuiya mwaka uliofuata tuliingia vitani na Uganda

Kabla ya mwaka 1977 kila bidhaa ilikuwa na nembo ya ''manufactured by EA industries-Nairobi''
Nakumbuka maduka yalikuwa na Blue Band, Tusker, Nacet, Bata n.k. kutoka Kenya
Upande mwingine tilikuwa na nguo kutoka Jinja, vitu kama chemli kutoka Mathiwani Uganda n.k.

Hoja yangu ni kuwa kuvunjika kwa EAC, Tanzania iliathirika sana. Tulianza kuanzia chini kabisa
Hatukuwa na ndege hata moja, tukaazima DETA kutoka msumbiji
Hatukuwa na shirika lingine zaidi ya yale yasiyohamishika kama bandari, posta n.k.

Tulianza kwa viji factory, kwa muda mfupi sana tukaweza kuwa na uwezo wa kutengeneza kila kitu wenyewe
Kwa mfano, betri zilitoka Kenya, tukajenga Matutshita ambayo baadaye ilikja ku export kwenda Kenya kwa ubora wake
Tukawa na vi factory vya nguo n.k.

Ilichukua muda mfupi sana tukaanza kutoka katika hali duni waliotuacha nayo akina Charles Njonjo

Tulipofungua mpaka, kazi kubwa ilikuwa ku import kutoka Kenya.
Takwimu za karibu zainaonyesha tunakwenda kue export sawa na Kenya wanavyo export kuja kwetu.

Kumbuka, wakati tunaanza kutoka chini Kenya walikuwa wanaendelea walipoachia
Je, tofauti kwa sasa ni kubwa ukizingatia hali waliyotuacha nayo?

Ni kwa vile tu tuna uzembe wa viongozi kama alivyosema Kibona, vinginevyo tungekuwa tunaongoza kama uchumi mkubwa EAC. Viongozi walipoanza kuuziana vijiwanda, ufisadi n.k wameturudisha nyuma sana

Hivyo Wakenya waiangalie Tanzania kwa jicho pana la historia, na hapa Watanzania wanatakiwa wawe makini sana wasijerudia makosa yaliyotokea huko nyuma. Umakini huo wa Tanzania wenzetu wanauita ''dithering''

Kwamba, Tanzania ni reslient hilo halina mjadala.
 
..they r not sharp.

..tofauti yetu na wao inatokana na wao kuwa na access ya mikopo ya biashara kwa muda mrefu.

..kinyume chake wabongo kwa muda mrefu wamekuwa wanafanya biashara kwa kutumia savings zao wenyewe, na wakati mwingine wanalazimika kufisadi hapa na pale ili kupata mitaji.

..wabongo hawa wanao-serve kwa miaka 10 mpaka 15 na kujenga nyumba unafikiri watashindwa kujengwa wakipewa mikopo kama ndugu zao wa-Kenya? Now, bring a Kenyan to Tz halafu mwambie ajenge kama tunavyofanya sisi uone kama ataweza.

..kuhusu ardhi hivi hujaona mapigano kati ya wakulima na wafugaji yanayoendelea? mimi nadhani it is safer kutokuruhusu ardhi yetu kuwa ya Afrika Mashariki mpaka pale tutakapoweza kudhibiti hii migogoro baina yetu hapa nyumbani.

..mwisho, nakubaliana na mtizamo wako kuhusu umuhimu wa kuboresha elimu yetu. IMHO, matatizo yetu ni ya ndani zaidi na sidhani kama intergration ndiyo muarubaini/panacea ya matatizo hayo.

cc nyumba kubwa, Nguruvi3, msemakweli, Ngongo, NasDaz, Kibona

Very good! Umeongea utumbo mwanzoni ila nilipo kuvulia kofia ni mwishoni uliposema eti mnahitaji kuboresha elimu kwanza, hata haujakosea kwani elimu bora itakufanya uwe unaona mambo na kufikiri tofauti na ulivyo sasa.
 
Last edited by a moderator:

Ustaarabu upo wapi? Kwani hoja haiwezi kusimama bila kashfa au kejeli? Na gharama za ustaarabu na heshima ni kiasi gani kiasi kinachoweza kukwaza baadhi ?
 
mkuu JokaKuu do not bother trying to educate these foolish Kenyans. Upumbavu na sio ujinga ndio tatizo lao. Besides, they are just ordinary low lives who feel they have a venue to vent their frustrations here in JF. But the sad truth is that their opinions just dont matter! Courtesy and intelligent discourse is much more than their tiny little pea brains can handle, so they result to insults in an effort to catch your attention and feel relevant. Don't give them that pleasure!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu Kibona na Kiranga
Agenda ya kwanza kabisa baada ya Rwanda na Burundi kupewa uanachama ilikuwa suala la Ardhi
Naweza kusema wazi kabisa hili ndilo hasa lileta mzozo huu tunaouona

Mwandishi wa magazeti na 'msemaji ' wa serikali ya Kenya wa siri, aliandika sana kuhusu hilo tena kwa hasira kubwa
Aliandika katika the The EA na The economit kulaani Tanzania.

Habari moja ilikuwa na kichwa cha ''EAC: TANZANIA IS DITHERING' akapiga madongo sana. Huyu ni Warigi Kamau

Katika soko la pamoja kuna hoja ya ''movement of people and capital''
Huwezi kuwa na vitu hivyo ukaacha suala la ardhi likielea kwasababu ni kiungo muhimu sana

Tanzania ilisema hivi, na hapa JF tuliandika sana. kwanini tuisanze kwanza na vitu kama infrastructure, institutions na vitu vingine? Hoja hiyo ilikubaliwa kwa shingo upande, tukawa na mpango wa pamoja wa infrastructure na ndio chimbuko la ujenzi wa barabara ya Arusha-Namanga na Namanga-Nairobi

Baada ya washirika kuona hoja ya ardhi imekufa, Rwanda wakaja na madai ya kuhamisha makao makuu.
Hoja kubwa ilikuwa ku-frustrate Tanzania ili ionekane kama hawakubaliana na matakwa 'yao' basi makao makuu yanaondolewa Arusha.

Hilo nalo likashindwa kwa kuangalia Treaty na ugeni wa Rwanda

Hapo ndipo CoW ikazaliwa.

Uzao wa CoW ukaja na habari nyingine na si ardhi tena. Husikii wakiongelea hilo

CoW wana tatizo moja, kwamba hata kama watakuwa na block kubwa 'geography and demography' haiwapi nafasi nzuri
CoW haiwezi kubaki yenyewe, lazima itahitaji expansion.

Je, Tanzania inayo link na nchi 8 zikiwemo za kusini haina nafasi ?
Tumesoma Kenya wana mpango wa kupeleka umeme Zambia kupitia Tanzania

Hilo litawezekana iwapo tu Tanzania itabaki kuwa ndani ya EAC. Kenya wanalitambua?

Je, CoW hawataki kuwa na access na SADCC region, na wanawezaje iwapo hakuna maelewano?
Mheshimwa Nguruvi3, mie nimefurahi mno baada ya kuibuka kwa kitu kinaitwa CoW maana hii kitu imefungua mlango wa Tanzania kudefine nafasi yake ktk EAC. Unajua wangekuwa wanatusubiri na kuendelea kutulaumu tungekuwa under very high pressure kukataa baadhi ya mambo. Hizi nchi kila moja ina maslahi yake ktk jumiya na bahati mbaya maslahi yanatofautiana.
Mwanzoni wakati Mwinyi, Moi na Museveni walipokaa kujadili jinsi ya kuanzisha jumuiya wote walikuwa wanawaza maslahi ya kiuchumi. Baadaye jumuiya ilipoanzishwa mwaka 1999, interests zilianza kubadilika Museveni alianza kugundua kuwa Waganda wanaanza kumchoka hivyo akawa anahitaji shirikisho kwa haraka ili aendelee kukubalika kisiasa na aligundua kuwa moja ya mambo yaliyokuwa yanazidisha vuguvugu ilikuwa ni ukosefu wa ajira na ardhi ya kutosha. Hivyo alianza kuongelea shirikisho la haraka na ili kufikia lengo ilibidi apush protocols kama matumizi ya ardhi, free movement of labour na mambo kama hayo. Hata hivyo mwanzo Kenya haikuwa inaunga mkono sana haraka hii kwasababu wao walikuwa wanahitaji zaidi masoko, kuliko walivyokuwa wanalipa uzito suala la ukosefu wa ajira na ardhi. mambo yalibadilika baada ya Post election violence ya 2007, wakagundua suala la ajira na ardhi ni tatizo kubwa kuliko wanavyofikiria, ndipo wakaungana na Museveni kupush kwa nguvu agenda ya free movement of labour na Land, lakini kumbuka kuwa mpaka leo na tafiti zinaonesha kuwa TZ ndiyo inatengeneza ajira mpya nyingi ktk EA na pia ina Ardhi kubwa zaidi, hivyo hawa wote macho yalikuwa TZ. Rwanda na burundi pamoja na sababu za kiuchumi, ajenda yao kubwa ilikuwa usalama na ndio maana walianza kuomba kujiunga SADC walipokataliwa ndipo wakaanza kuifikiria EAC.
Baada ya Tz kukataa fast track kuelekea shirikisho sasa ili kukabiliana na presha zilizokuwa zinazidi kupanda kutokana na sababu za kiuchumi na usalama wakaamua kupush kwa pamoja hizo protocols na mambo yakazidi kuwa magumu ilipokuja hii ishu ya visa ya pamoja ya utalii, maana ili kuikomoa Tanzania wakaamua kuingiza ktk CoW mambo ambayo tulikuwa hatujakataa hasa haya ya infrastructural projects, sasa hapo ndio nia mbaya ya CoW inaonekana maana kama wao walitaka waendelee mbele kwa mambo ambayo TZ imekataa inakuwaje mjadala unageuka na kuwa mambo ambayo hatujakataa? halafu huku nyuma kenya wanatafuta MoU na TZ kuhusu Utalii ambao wameamua kudeal nao kwa pamoja ktk CoW? Rwanda wakataka hata makao makuu yahamishwe, ila Kenya kimsingi haipo tayari kuona TZ inajitoa ktk EAC maana ikijitoa hata hiyo CoW itakuwa ndio mwisho wake, hivyo hawakuwa tayari kuunga mkono mawazo ya kagame ktk hilo.
Kwa hali ilivyo sasa TZ iko katika nafasi nzuri ya kuamua kipi cha kushirikiana na kipi hatupo tayari bila lawama kutoka CoW maana kwasasa hawatakuwa na kisingizio cha kucheleweshwa.
 
Kwa kuongezea tu mkuu, hapo nilipobold achilia mbali federation, moja ya vitu walivyokuwa wanaituhumu TZ ni Ardhi, lakini sasa kwenye Cow wameweka kwapani ajenda ya Ardhi. Kati yao hakuna anayeshauri waendelee pia na mpango wa kuruhusu umiliki wa ardhi kwa wananchi wa CoW. Nadhani kwa hilo wanasubiri Tanzania itakapojiunga na CoW.

Naona mpo busy kujifariji na kuficha vichwa ndani ya mchanga, ila tabia kama hizi huwa hazidumu na baada ya muda mfupi unajipata ukweli unakukondolea macho.
Ifahamike baadhi ya maswala yaliyokua yanajadiliwa kwanzia mwanzoni palikua na swala la ardhi, Tanzania ikaomba hilo liondolewe halafu tukubaliane mengine. Basi kwa vile imekua jambo la kawaida kukubaliana na Tanzania ili tuendelee kuiburuza, issue ya ardhi ikawekwa kwapani.

Sasa mumeibuka na mengine tena, yaani kilichonifurahisa na viongozi wa COW ni kwamba washafanya hesabu zao bila Tanzania, tunajua sote kwamba kwa kukosa Tanzania ndani ya muungano tutapoteza mengi, lakini kama tuu ndoa, ukiishi na mke mrembo lakini kila siku anatishia talaka, mguu mmoja upo nje, inabidi unafanya kitu tunaita kwa kingereza "counting your loses early".

Sasa hivi tumekaa mkao wa bila Tanzania, cha kupoteza tutapoteza tu. Makampuni yetu yaliyopo Tanzania yashajipanga, kila mwekezaji Mkenya amekaa mkao huo huo. Tunaishi kama Wahindi, maana hamna muungano na India lakini Wahindi wana-survive na kutanua Bongo.
 
..wa-Tz hawasubiri mikopo, wanadunda kibongo-bongo na wako wengi tu wamefanikiwa.

..mimi ni mmoja kati ya wa-Tz tunaoamini kwamba we are more resilient, and hard working, compared to our brothers and sisters from Kenya.

Wewe ungelijua Kenya ilivyo ndio hungetumia hilo neno resilience.
- Nchi yetu ni ndogo sana ikilinganishwa na yenu
- Nusu yake ni kame tupu
- Mvua huwa sio ya uhakika
- Hatuna madini kama nyie
- Nchi yenu imetajwa kuwa bora kwa utalii Afrika yote
- Nchi yenu imejaa madini
- Kwenu hamna mabomu ya kila mara
- Nchi yenu imeishi kwa amani
- Bandari ya nchi yenu inategemewa na nchi nyingi

Yaani naweza andika orodha ndefu sana ya mazuri yaliopo kwenu zaidi ya kwetu, lakini cha kushangaza, tumewashinda kiuchumi na sioni mkitufikia hivi karibuni. Hiyo maana yake nini, nyie wavivu wa kutupwa, mpo taratibu sana (slow) na hamujiamini kabisa. Sisi ndio tunajua maana ya resilience, pamoja na magumu yote bado tunajituma.

Halafu mansema eti mnatupea mahindi, kwani huwa ni bure, tunanunua kwa hela zetu. Kama hatungekua na majanga ya ukosefu wa mvua, hatungenunua mahindi kutoka nje. Wengine husema eti Uingereza ama Marekani wanatusaidia, kwani nani asiyepata misaada kutoka nje, juzi tu vingozi wenu wametafuna nchi yenu kwenye kashafa ya Escrow na ni baada ya Wazungu kutishia kutowapa misaada ndio mkaanza kuwafuta mawaziri. Bado mnazungusha kibakuli nje. Halafu hata ukiona bajeti yetu, sisi hatutegemei sana misaada kama nyie.
 
EA to adopt One Network Area, call rates to drop
graphic.jpg

Mobile phone operators to negotiate new rates at less than $0.1 per minute across region. TEA Graphic

Mobile phone subscribers in Kenya, Uganda and Rwanda will from January 1 2015 enjoy cheaper cross- border calling rates following the removal of tariffs by the three countries.

This means that mobile phone users on roaming will be charged less, while calling friends and family across the three East African countries.

The decision was reached at the just concluded 8th Summit for the Northern Infrastructure Project held in Nairobi on Friday, which was attended by Presidents Uhuru Kenyatta, Yoweri Museveni and Paul Kagame. The presidents directed Ministers of Finance and ICT of the three countries to ensure the One Area Network is operational by January.

One area network is a regional framework comprising countries that have agreed to waive or manage roaming charges and other surcharges for telecommunications traffic.

The rollout has been postponed several times to allow the member countries to formulate legislation for its implementation. The launch, which was initially scheduled for September, this year, was pushed forward to allow mobile telephone operators in the three countries to negotiate new roaming rates.

It was later agreed that each president launch the one area network in their respective countries on November 1, following the absence of President Uhuru Kenyatta at the Summit held in Kampala last October.

At that time, it was only Kenya and Rwanda that were ready, forcing the three countries to postpone the launch. Uganda had asked for more time to waive taxes on calls originating from the region.

Despite the delay, Rwanda and Kenya went ahead and launched the One Area Network, in October, resulting in the reduction of calling charges across the two countries from Ksh25 ($0.28) per minute to Ksh10 per minute ($0.1).

The latest announcement by the heads of state comes after Uganda confirmed that it had finalised preparations on the operationalisation of the One Area Network.

Roaming charges, which have been beyond the reach of many East Africans, will go down drastically, stimulating growth in the telecommunications sector. The calling rates are expected to decline to $0.1 per minute for retail and $0.07 per minute for wholesale.

The retail rate is the cost incurred in distributing calls within a country. The wholesale rate is the agreed interconnection rate between networks. Wholesale charges represent the fees the visited network charges the home network for letting its customers roam on its network.

The Summit further directed the ministers to operationalise the One Network Area for SMS, Data and Mobile Financial Services

“The scheme is important for East Africa’s citizens, as roaming charges, which have been beyond the reach of many, will go down, stimulating growth in the telecommunications sector,” Kenya’s Cabinet Secretary for Information, Dr Fred Matiang’i said.

The other two EAC members Tanzania and Burundi will adopt the new call charges at a date yet to be set. Previously, the cost of regional roaming had been higher than the cost of calling international destinations like Europe.

Under the agreement, the regional framework which refers to telecommunications traffic originating and terminating within the One Area Networks, shall not apply surcharges to international incoming traffic, impose additional charges to subscribers roaming within the One Area Network and impose charges to subscribers for receiving calls while roaming within the One
Area Network.

Source:theeastafrican

Kwa nini hawasemi some members of EAC?

BTW bado tunachubiri habari za Kenyans aka manyang'au kuhusu 'adolescent president' tujue zipi ni mbivu? Na mauaji ya kikatili ya aliyekuwa shahidi wa mauaji wakati wa uchaguzi.
 
Naona mpo busy kujifariji na kuficha vichwa ndani ya mchanga, ila tabia kama hizi huwa hazidumu na baada ya muda mfupi unajipata ukweli unakukondolea macho.
Ifahamike baadhi ya maswala yaliyokua yanajadiliwa kwanzia mwanzoni palikua na swala la ardhi, Tanzania ikaomba hilo liondolewe halafu tukubaliane mengine. Basi kwa vile imekua jambo la kawaida kukubaliana na Tanzania ili tuendelee kuiburuza, issue ya ardhi ikawekwa kwapani.

Sasa mumeibuka na mengine tena, yaani kilichonifurahisa na viongozi wa COW ni kwamba washafanya hesabu zao bila Tanzania, tunajua sote kwamba kwa kukosa Tanzania ndani ya muungano tutapoteza mengi, lakini kama tuu ndoa, ukiishi na mke mrembo lakini kila siku anatishia talaka, mguu mmoja upo nje, inabidi unafanya kitu tunaita kwa kingereza "counting your loses early".

Sasa hivi tumekaa mkao wa bila Tanzania, cha kupoteza tutapoteza tu. Makampuni yetu yaliyopo Tanzania yashajipanga, kila mwekezaji Mkenya amekaa mkao huo huo. Tunaishi kama Wahindi, maana hamna muungano na India lakini Wahindi wana-survive na kutanua Bongo.
Kama mmekaa mkao wa bila Tanzania, mnasubiri nini kushirikiana ardhi pia? Halafu kwanini mnawazunguka wenzenu ktk suala la visa ya pamoja na kurudi kwa mlango wa nyuma kuomba MoU na Tanzania?. Acheni kuwatumia hao madikteta wawili kama toilet paper. Pia sie hatunashida na wafanyabiashara kutoka kokote kule na kimsingi tunawahitaji ila hatutaki siasa za maji taka. Kwahiyo kama mmekaa mkao wa bila Tanzania washaurini hao viongozi wenu wanaokuja na hoja dhaifu, eti Single tourist visa inafanya vibaya kwasababu Tanzania haipo. Waambieni wajiandae kisaikolojia kukabiliana na changamoto za Single tourist visa bila Tanzania.
 
Hii ni biashara, na wajanja wa biashara hujua jinsi ya kucheza, kawaulize kaka zako Kariokoo. Single tourist kwa kweli kuna kitu itakosa bila Tanzania, lakini kwa vile Tanzania imekua kama mrembo wa kuburuzwa, imebidi tuiendeshe bila nyie. Na chochote ambacho kitafanyika tutakifanya tu.

Tutazidi kuwatongoza pembeni lakini huku tunafanya yetu. Kwa sasa tuna mvutano na Wa-south, Afrika Kusini ni mshindani wetu katika nani atabaki na huyu demu wa Tanzania, ila tunawaambia hao wa-south kwa vile wametafuna madini yenu sana, basi watuachie na sisi tutafune kingine, wasibebe kila kitu kwa hilo shamba la bibi.

Hilo la MOU halina issue maana biashara ni biashara nothing personal, nyie ndio huwa mnachanganya biashara na undugu na udada.
 
Nakuona siku hizi umejifunza mipasho, lakini sijakuweka kwenye kundi la watu wasiojitambua hivyo najua kuwa ukianza kuongea mipasho basi ni dalili ya kuwa nilichokiongea kimekugusa sana. Kwa ushauri tu ni kuwa hatushindani kutukana japo najua hata tukianzisha mashindano ya matusi wakenya hamuwezi kushinda.
Back to the point, kama mnajua kuwa na Single tourist visa bila TZ kuna kitu mtakosa kwanini mkubali kuianzisha? au kama mmeamua kutake opportunity cost kwanini muanze kuigeuza hiyo kama ndio sababu ya kujustify failure, maana kama mlijua ina maana mmejiandaa sasa msilalamike. Halafu kumbuka kuwa tunaongelea ktk national level na si personal level, sasa kati ya Tanzania na CoW nani analeta udada na undugu ktk biashara? Nyie ndio mnataka TZ ikubali protocols zisizo na faida kwetu eti kwaajili ya maslahi ya East Africa. Kama mngekuwa mnaelewa kuwa biashara haina undugu msingekuwa mnalalama.
 
Hamna sehemu nimeanzisha matusi, na nikianzisha huwezi simama, fahamu mimi ni Mkenya na tumezoea ngumi.

Hili la single tourist visa ni proposal iliyokua imejadiliwa kwa jinsi ya ku-maximise potential za EAC, maana kama ilivyokua kila nchi kivyake unakuta kwamba tunapoteza sote kwa ajili ya ego za kitoto. Ukiunganisha takwimu za watalii wa nchi zote za EAC hata hazifikii nusu ya Afrika Kusini, wakati wao hawana vivutio bora kama vya huku. Ina maana tatizo letu ni marketing strategy.

Na ndio think tank wakaona vyema tufanye synergy. Hapo ghafla Tanzania kama kawaida yake, ikanuna na kutoroka. Sisi tukaamua kuendelea maana kuna msemo unaosema "Shoot for the moon. Even if you miss, you'll land among the stars." Kwa hakika, bila Tanzania hatutafika kwenye mwezi, lakini tuna uhakika wa angalau kutua kwenye nyota fulani, ila hatuwezi endelea kubaki tulipo.

Ifahamike hii industry ya utalii imekua na ushindani mkubwa dunia yote, na bila kuwaza nje ya box eti bado mpo mpo tu mnategemea wale watalii wa kuja kuona Simba, utabaki pale pale. Hebu ona sasa hivi
- Tanzania imetangazwa kuwa yenye vivutio bora Afrika yote
- Tanzania haina changamoto za mabomu
- Tanzania ni muungano wa nchi mbili zenye vivutio bora
- Tanzania haina misukosuko ya ndani
- Tanzania imepokea watalii wengi waliotoroka mabomu ya Kenya

Lakini pamoja na yote hayo, takwimu zenu za watalii zimeongezeka kidogo sana.....kama sio ugoigoi ni nini.
 
Hao unaowaita think tank wa EAC walikuwa wanatumia model gani, mpaka wakaja na conclusion kuwa synergy ndio ingetuletea mafanikio? Kama ulivyosema tatizo letu ni marketing strategy, sasa ktk seven Ps za marketing, synergy iko kwenye P ipi? Na ukienda katika takwimu kama ulivyozisema hebu nipe mfano wa nchi best performers ktk utalii waliotumia synergy kama strategy ya marketing.
Kama tatizo ni marketing basi ilitakiwa tushirikiane ktk kumarket product zetu lakini tukubaliane pia gharama za marketing na jinsi mapato yanavyogawanywa, maana haiwezekeni tujadiliane kuwa kusiwe na mipaka ya vivutio halafu kusiwe na mjadala wa kueleweka ktk mapato. Na pia EAC mpaka sasa tunahangaika kuwa na soko moja lakini products kila mtu na zake, sasa Single Tourist visa kimsingi haitengenezi soko moja la utalii bali inajaribu kutengeneza product moja ya EAC kwaajili ya masoko tofauti duniani, kitu ambacho bado EAC haijafikia mahali pa kufanya products zikawa za EAC kwa pamoja.
Hata South Africa uliyoisema nayo inahangaika kukuza utalii bado maana imezidiwa mno na nchi kibao duniani, bado hata siku moja haijawahi kufikiri kuwa synergism kwa kuwa na Single tourist visa na majirani kama Lesotho, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Botswana na Namibia ni njia muafaka ya kukuza utalii South Africa.
 
Kunawezakuwepo kwa tatizo la marketing, hilo haliwezi kuwa addressed kwa ‘synergy''
Ukiangaliakusudio la ‘synergy' halipo wazi. Kama ulivyosema, lengo lilikuwa kuuza productza EAC, wala hiyo haina maana kuchukua utalii kama kitu kimoja

Ukiuangaliamfumo unaopendekezwa, walichokifanya ni kuwa na single visa baasi. Hawakuwezakuanisha mapato na matumizi yak u market product yanabebwa vipi na nchi husika

Tanzania naKenya ndizo zitakuwa ‘face' ya hiyo single visa. Gharama za kuhudumia vivutiovilivyopo zinabaki kuwa za nchi hizo. Nilidhani walitakiwa waainishe kwanza,mapato yanagawanywa vipi na si suala la ‘synergy'

Ukisoamapost nilizoweka kuhusu Waganda, nao wameanza kulalamika
With the opening of borders and having one verification point of imports atMombasa, Kenya, the implication is that businesses at border points like Malabaand Busia will be lost as there will no longer be serious activities there;clearing firms will shift to Mombasa hence those who have been supplying themwith food, renting spaces for their offices and accommodation, etc., shall losebusiness; almost all factories that are dependent on imported raw materialslike Roofings Limited, manufacturers of plastics, etc., will most likely shiftto Kenya. It will also follow that many staff of the Uganda Revenue Authority,Uganda National Bureau of Standards, among others, will shift to Mombasa hencerenting houses thus providing market for the Kenyan economy.

There will be no justification for investors that use major imported componentsfrom outside setting up factories in Uganda because it will obviously be moremeaningful to invest in Kenya and transport finished products to Uganda''
Endapo single visa Tanzania inaonekana ugogoi, je kwanini Waganda walalamike kuhusu border points kama ilivyoonyeshwa ahapa juu?

Hapa inatueleza kuwa mambo ya fanyika bilakuwa na utafiti. Ndivyo ilivyotokea kwa Lawmaina kusema idadi ya watalii waTanzania imeongezeka kidogo sana.

Hakueleza kidogo ni kiasi au asilimia ngapi.Lakini pia angeonyesha Tanzania imepoteza nini kwa kuwa nje ya single visa.

Kama idadi ya watalii imeongezeka ''kidogo sana' Tanzania ikiwa yenyewe, hiimaana yake ni kuwa Tanzania inakuwa competen tbila kutegemea single visa, na inaeleza kwanini hatuhitaji huo mpango usio namgawanyo wa mapato kwa takwimu

Haina sababu tunwe na 95% ya vivutio,halafu tupate 20% ya mapato kwa kugawana na washirika huku tukiwa na mzigo mzito wa bajeti ya kuhudumia 95% inayotegemewa na washirika. Insane!
 
Kunawezakuwepo kwa tatizo la marketing, hilo haliwezi kuwa addressed kwa ‘synergy’’
Ukiangaliakusudio la ‘synergy’ halipo wazi. Kama ulivyosema, lengo lilikuwa kuuza productza EAC, wala hiyo haina maana kuchukua utalii kama kitu kimoja

Ukiuangaliamfumo unaopendekezwa, walichokifanya ni kuwa na single visa baasi. Hawakuwezakuanisha mapato na matumizi yak u market product yanabebwa vipi na nchi husika

Tanzania naKenya ndizo zitakuwa ‘face’ ya hiyo single visa. Gharama za kuhudumia vivutiovilivyopo zinabaki kuwa za nchi hizo. Nilidhani walitakiwa waainishe kwanza,mapato yanagawanywa vipi na si suala la ‘synergy’

Ukisoamapost nilizoweka kuhusu Waganda, nao wameanza kulalamika
Endapo single visa Tanzania inaonekanaugogoi, je kwanini Waganda walalamike kuhusu border points kama ilivyoonyeshwahapa juu?

Hapa inatueleza kuwa mambo ynafanyika bilakuwa na utafiti. Ndivyo ilivyotokea kwa Lawmaina kusema idadi ya watalii waTanzania imeongezeka kidogo sana. Hakueleza kidogo ni kiasi au asilimia ngapi.Lakini pia angeonyesha Tanzania imepoteza nini kwa kuwa nje ya single visa.Kama idadi ya watalii imeongezeka ‘’kidogo sana’ Tanzania ikiwa yenyewe, hiimaana yake ni kuwa Tanzania inakuwa competentbila kutegemea single visa, na inaeleza kwanini hatuhitaji huo mpango usio namgawanyo wa mapato kwa takwimu

Haina sababu tunwe na 95% ya vivutio,halafu tupate 20% ya mapato kwa kugawana na washirika huku tukiwa na mzigomzito wa bajeti ya kuhudumia 95% inayotegemewa na washirika. Insane!

Usipoteze muda na hawa wezi wa mchana kweupe. Statistics hadi hivi sasa South Africans wanalalamika hawapati cream of tourists, wanapata zaidi back packers ambao hawana fedha za kutumia etc. Cream sasa hivi ya watalii wenye pesa zisizo na maloloso wanakuja Tanzania kwa sababu wameshagundua wapi waende. Hakuna mtalii hivi sasa mwenye pesa za uhakika anayetaka kwenda Kenya hiyo ni fact watabisha lakini ndio hivyo.

Swala jingine hatuna infrastructure ya kuweza kukidhi mahitaji ya watalii. Just to give you an example, tulikuwa tulete watalii 1000 kila wiki waje kuanzia Dar-Es salaam then Arusha (Ngorongoro na Serengeti) back to Dar for trip home, tumeshindwa kutokana na miundo mbinu mibovu. Kwa hali tuliyonayo tuendelee kujikokota hivi hivi hadi pale a) Tutakapokuwa na uwezo wa kutoa huduma bora, 2)tutakapoweza kudhibiti mapato ya Taifa 3)Tutakapoacha kuwategemea walanguzi kutoka kwa Manyang'au.

Kelele za Kenya zinafahamika, makampuni yanayomilikiwa na uncle pesa zinadidimia kwa sababu wanaambulia kupata back packers tu na hao hivi sasa ni haba kutokana na swala la wasomali kuwakalia kooni. Manyang'au wanaona vinaelea tu hawafahamu kwamba vimeundwa, walipovunja EAC si walijiona bora? haya ni mashinikizo ya wezi ambao wanataka kula fedha za walipa kodi bila kunawa mikono.
 
Yaani naweza andika orodha ndefu sana ya mazuri yaliopo kwenu zaidi ya kwetu, lakini cha kushangaza, tumewashinda kiuchumi na sioni mkitufikia hivi karibuni. Hiyo maana yake nini, nyie wavivu wa kutupwa, mpo taratibu sana (slow) na hamujiamini kabisa. Sisi ndio tunajua maana ya resilience, pamoja na magumu yote bado tunajituma.

.

..matatizo ya Tz yanatokana na uongozi mbaya.

..wa-Tz siku zote wanajitosheleza kwa chakula. sasa huo uvivu unatoka wapi?

..huku wananchi wanalima na mazao yao yanaharibika kwenya maghala kwasababu yamekosa soko, na serikali imeshindwa kuyanunua. tungekuwa wavivu tusingeweza hayo.

..tatizo letu sisi ni UONGOZI. hutasikia nikikupinga ukitulaumu na kutubeza kutokana na kuchagua viongozi wabovu tena na tena.

NB:

..ukisikia kuna wa-Tz wana shida ya chakula, ujue ni kwasababu serikali imeshinda kununua chakula toka eneo lilopata mavuno mazuri kupelekea kule kwenye uhaba wa chakula.
 
kuadapt one network ni jambo zuri sana ndani ya jumuia yapo mambo mengi sana tena ya muhimu kuliko maelezo.Ila kama huna focuse yoyote utaona kama vile ni kupoteza muda.Ila wafanya biashara,wanafunzi na hata ndugu ktk nchi husika wanaelewa umuhimu wake.
 
Back
Top Bottom