East Africa to adopt One Network Area, call rates to drop

Usisingizie globalization Wote nyie mnazurura hovyo nchi nyingine kama watoto wa majalalani kwa sababu hamna ardhi!(KWENU)

Sisi Tanzania uhuru wetu tulipigania ardhi si kitu kingine.Ardhi ndio uhuru wetu.Huwezi kujiita nchi huru wakati watu wako hawana ardhi.Uhuru wa COW ni uhuru wa bendera.

Nyie viongozi wenu walipigania utawala sio uhuru ndio maana walipopata tu utawala wakauza ardhi yote bila kujali kuna vizazi vingine vya akina nyie vyaja.Sasa ona mko wazuiruraji mnalia Tanzania tufungulieni milango ya ardhi.Hatufungui ng`o.

Haya tuwache sisi tuzurure tukifanya yetu, nyie nendeni mkalime kwenye hiyo ardhi.
 
Yeye anasafiri kwenda Tanga tu, "hajaamuka kwenye globalization," lakini wewe "uliyeamuka kwenye globalization" unasafiri na kuongea na watu wa Rwanda na Uganda tu?

Mimi niliyeamka ninajipata nikiwa na uwezo wa kuongea na kupiga deals na watu wa nchi mbali mbali. Mrwanda na Mganda inakua hakuna mahangaiko nikitaka kutembelea fasta niwahi kikao. Lakini Bongo tunafanya deals na Wabongo ila kwa mahangaiko. Lazima ni hakikishe stakabadhi zipo zote, pamoja na kudungwa mashindano kwenye mipaka...yaani aisei. Sawa tu iko siku mtaliona na kuamuka. Mumeamuka kwa mengi mliyokua mnanunia hapo mbeleni. Taratibu mnafunguka wenyewe.
 
..hili suala lilitakiwa lishughulikiwe na EAC siyo CoW.

..I dont think it is something that Tanzania or Burundi would object to.

..binafsi sina tatizo na CoW kufanya miradi ya pamoja, nisichokipenda ni wao kujihusisha na negative campaig dhidi ya Tanzania.

.kila CoW wanapofanya mikutano yao, basi hawaishi kutoa maneno mabovu-bovu dhidi yetu.
Mkuu hatima ya EAC inatia shaka sana. Soma hii

http://www.dailynews.co.tz/index.ph...-central-southern-africa-power-project-signed
 
..hili suala lilitakiwa lishughulikiwe na EAC siyo CoW.

..I dont think it is something that Tanzania or Burundi would object to.

..binafsi sina tatizo na CoW kufanya miradi ya pamoja, nisichokipenda ni wao kujihusisha na negative campaig dhidi ya Tanzania.

.kila CoW wanapofanya mikutano yao, basi hawaishi kutoa maneno mabovu-bovu dhidi yetu.

cc simplemind, murutongore, flyingcrane, lawmaina78, Geza Ulole, Nguruvi3

Wafanye nin kama sie tunawachelewesha, wana haki ya kuendelea bila sisi.

DRC nae ameomba kuunganisha kwenye ile reli yao ya pamoja, sie tuendelee na mark time yetu tu.Wanajeshi wetu wanakufa huko Congo alafu uchumi watanufaika wenzetu.
 
..tunawachelewesha kwenye suala gani? hebu funguka kidogo.

..hawa walidai wanataka ku-fast track political federation. sasa hebu jiulize wamefikia wapi.

..kuhusu reli na barabara, mbona Tz-Rw-Br tulikuwa na mpango wa reli ya pamoja lakini hatukuwa tukisema maneno mabovu-mabovu dhidi ya Ug na Ky ambao hawakuwepo ktk mradi huo?
 
contradiction

..kuna miradi ambayo inatakiwa kuhusisha nchi zote za EAC.

..pia kuna miradi ambayo inaweza kuwa bilateral au multilateral bila kuhusisha nchi zote.

..huu wa ea network nadhani ungefaa kuwa chini ya EAC.

..pia kuna mradi wa barabara Ky-Tz-Br, halafu kuna mwingine wa umeme rusumo kati ya Tz na Rw.
 
..tunawachelewesha kwenye suala gani? hebu funguka kidogo.

..hawa walidai wanataka ku-fast track political federation. sasa hebu jiulize wamefikia wapi.

..kuhusu reli na barabara, mbona Tz-Rw-Br tulikuwa na mpango wa reli ya pamoja lakini hatukuwa tukisema maneno mabovu-mabovu dhidi ya Ug na Ky ambao hawakuwepo ktk mradi huo?

Hatukuwa kwa huo mradi wa Tz-Rw-Br lakini hamkusikia tukilalamika jinsi mnavyofanya nyie. Nimesema mara kadhaa, hii ni biashara and nothing personal, kila kiongozi anawajibika kwa watu wake, atakvyo-negotiate kwenye haya mambo. Ni bora sana tukiweza kuungana kibiashara na kusaidiana, muulize Mtanzania yeyote anayepiga deals Kenya, utakuta hawana haya majigambo yenu nyie. Na wanachukia sana huku kujivuta vuta kwenu.

Kuna siku tukiwa kwenye bus la kwenda Arusha tokea Nairobi, polisi Wakenya wakaingia na kuanza kupekua stakabadhi, halafu Mrwanda mmoja akatoa kitambulisho cha kwao, na bila shida wakamkubali. Wabongo iliwabidi wahangaike kuonyesha passports, yaani baadaye tukiwa kwenye safari walilalamika sana jinsi serikali yao ina ugoi ugoi kwa haya mambo. Waulize sana Watanzania wa Arusha jinsi wanachukia huku kujivuta kwenu, nyie wa Dar mtapiga vifua maana haiwahusu sana.
 
Usisingizie globalization Wote nyie mnazurura hovyo nchi nyingine kama watoto wa majalalani kwa sababu hamna ardhi!(KWENU)

Sisi Tanzania uhuru wetu tulipigania ardhi si kitu kingine.Ardhi ndio uhuru wetu.Huwezi kujiita nchi huru wakati watu wako hawana ardhi.Uhuru wa COW ni uhuru wa bendera.

Nyie viongozi wenu walipigania utawala sio uhuru ndio maana walipopata tu utawala wakauza ardhi yote bila kujali kuna vizazi vingine vya akina nyie vyaja.Sasa ona mko wazuiruraji mnalia Tanzania tufungulieni milango ya ardhi.Hatufungui ng`o.

Duh... We omba mungu upate msamalia mwema ili akudhamini rehab, mara nyingi nyie wavuta unga na wauza unga mnaharibu sura ya watanzania wenzenu, huo uhuru unaosema wewe ndio upi? Wakutenda maovu bila kufwatiliwa na sheria? Kwa jinsi akili yako ilivyo nafikiri hiyo ardhi itakusaidia wakati wa kulazwa pema peponi vinginevyo uulize ndugu zako wasiovuta unga ndio utaelewa nnachokuambia
 
Hatukuwa kwa huo mradi wa Tz-Rw-Br lakini hamkusikia tukilalamika jinsi mnavyofanya nyie. Nimesema mara kadhaa, hii ni biashara and nothing personal, kila kiongozi anawajibika kwa watu wake, atakvyo-negotiate kwenye haya mambo. Ni bora sana tukiweza kuungana kibiashara na kusaidiana, muulize Mtanzania yeyote anayepiga deals Kenya, utakuta hawana haya majigambo yenu nyie. Na wanachukia sana huku kujivuta vuta kwenu.

Kuna siku tukiwa kwenye bus la kwenda Arusha tokea Nairobi, polisi Wakenya wakaingia na kuanza kupekua stakabadhi, halafu Mrwanda mmoja akatoa kitambulisho cha kwao, na bila shida wakamkubali. Wabongo iliwabidi wahangaike kuonyesha passports, yaani baadaye tukiwa kwenye safari walilalamika sana jinsi serikali yao ina ugoi ugoi kwa haya mambo. Waulize sana Watanzania wa Arusha jinsi wanachukia huku kujivuta kwenu, nyie wa Dar mtapiga vifua maana haiwahusu sana.

..u had no reason to complain kwasababu hakukuwa na maneno ya kashfa dhidi yenu toka kwa Tanzania.

..wa-Kenya mna-spend too much energy and time kutoa maneno ya kashfa dhidi ya Tz.

..Tz is your number one trading partner in the EAC, sasa mnaposema tunawarudisha nyuma hamsemi ukweli.
 
Sisi hatukulalamika kwamba eti tunabaguliwa, tulibaki kimya na kufanya yetu. Ndivyo inafaa, kama huwezi husika kwenye mradi fulani, basi baki kimya, ungana na wenzako kama unaona haja.

Halafu muulize Mkenya yeyote nje ya JF swali lolote kuhusu Tanzania, utashangaa sana hakuna Mkenya huwa na haja ya kutaja Tanzania popote. Tuko busy kukimbizana na nchi zilizo mbele yetu kiuchumi, sioni haja ya Mkenya kukimbia akiangalia nchi zilizo nyuma yetu kama Tanzania.

Nyie ndio kila siku nyimbo zenu huwa haziishi eti jinsi mtakavyowafikia Wakenya.
Hebu angalia hii blog ya mbunge wa Tanzania jinsi ametaja Kenya utadhani yeye ni mbunge wa Kenya Imagining Tanzania: 5th largest Economy in Africa and largest in EAC by 2025 | Zitto na Demokrasia
 
..tunawachelewesha kwenye suala gani? hebu funguka kidogo.

..hawa walidai wanataka ku-fast track political federation. sasa hebu jiulize wamefikia wapi.

..kuhusu reli na barabara, mbona Tz-Rw-Br tulikuwa na mpango wa reli ya pamoja lakini hatukuwa tukisema maneno mabovu-mabovu dhidi ya Ug na Ky ambao hawakuwepo ktk mradi huo?
Mkuu mwambie kuwa EU waliharakisha monetary union sasa hivi wanarudi nyuma. Waliharakisha kuandikisha nchi sasa hivi wanalaumiana kwa bail out.

Haya mambo hayaendi kwa fast trak, yanakwenda kwa weledi.

Nadhani head office kuna tatizo, katibu mkuu anaongoza kutoka Kigali.

Lakini pia tujiulize mbona tulipokuwa Kenya, Uganda na Tanzania mambo hayakuwa hovyo kama yalivyo sasa?

Huu mpango wa simu sijui kama wameuangalia vema. Wanaweza kufanikiwakatika muda mfupi, in long run watatambua kuwa wameacha soko, na watakaoleta shinikizo ni wananchi wanao trade katika region yote na si sehemu tu.
Viongozi watakuwa na CoW, wananchi hawatatambua mipaka ya CoW.

Unakumbuka suala la utalii, CoW waliamua hivyo, baadaye wafanyabiashara wa Kenya wakagundua kuwa walikuwa losers kwasababu soko lao linategemeana sana na la Tanzania. Tukaona wakija kwa mlango wa nyuma kutaka kuwa na MoU na Tz.

Tatizo lipo Headquarter nadhani
 
Reli kutoka dar mpaka dodoma tu miaka nenda miaka rudi tunapiga story tu ndio itakuwa kufika Kigali na Burundi?hii nchi maneno mengi vitendo sifuri.

Hawa wenzetu coalition yao sio ya maneno, wanafanya matendo:
 
EU ni tofauti sana na haya ya huku, kwanza wananchi wa EAC tayari wamefanikisha muungano bila hata serikali zote husika. Hata maongezi hayo ya simu across border nenda ukapewe data ndo utajua mnachelewesha issue iliyofika tayari.
 
Sijui kama unaelewa mantiki ya hoja. Hata hiyo EU unayoongelea sidhani kama unaelewa hali yake kwa sasa, sidhani!

Tunasema hivi suala la federation lilikuwa agenda, leo Uganda wamebaki wenyewe, haraka imeishia wapi?

Tunasema kuwa haya mambo ni lazima yawe katika utaratibu uinaoangalia wananchi na si matakwa ya viongozi.
Sina tatizo na CoW kuendelea kwa kasi, ninachosema ni kuwa mbele ya safari kuna tatizo.
Nimekuonyesha tatizo la Kenya. Walikuwa mstari wa mbele katika utalii kwa njia ya Cow

Miezi michache wakaja kutaka MoU na Tznz kuhusu utalii kutokana na shinikizo la wafanyabiashara wa Kenya.
Wafanyabiashara walisema kuwa soko lao halipo Rwanda wala Uganda, lipo Tzn. Hivyo serikali iendelee na CoW lakini wao wapewe MoU itakayohakikisha uhusiano wa Tznz na Kenya katika utalii unabaki kuwa mzuri. Serikali ya Kenya ikafanya.

Hili la simu nalo linafanana na hilo.Trade zinahusisha wananchi na siyo viongozi. Mbele ya safari wananchi watatambua kuwa kuna tatizo na ni kosa linalofanywa
 
Jamaa wanajifanya na akili nyingi kila wazo wanabaki kuliwaza kwa undani mwisho wanabaki kuwa kama utingo kutaka kudandia mafanikio ya wenzao...its possible EAC to become a political federal state. we always need each othe Kenya, Uganda and Rwanda.. Tanzania hawana msaada ni mzigo kwetu

Ni kweli u need each other iwapunguzie kwanza ukabila, mpaka muwe pamoja ,and then tutafikilia, watu mna roho mbaya kama wanyama ,nani aungane na nyie tuacheni, after all no harry in africa tulisha chelewa millions miles
 
Reli kutoka dar mpaka dodoma tu miaka nenda miaka rudi tunapiga story tu ndio itakuwa kufika Kigali na Burundi?hii nchi maneno mengi vitendo sifuri.

Hawa wenzetu coalition yao sio ya maneno, wanafanya matendo:

..ninavyoelewa mimi ni kwamba Rw bado haijapata pesa za kujenga kipande cha reli ktk eneo lao.

..Kenya walianza ujenzi, lakini hapa katikati wamekuwa na tuhuma za rushwa ktk mkataba, na mgogoro wa malipo kwa wananchi watakaopoteza ardhi kule ambako reli itapita.

..Uganda napo mradi umekwama baada ya Museveni kuingilia mchakato wa utoaji zabuni ya ujenzi. kuna malalamiko na malumbano ya kukiukwa kwa sheria na taratibu ktk utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli.

..kwa upande wa Tanzania tayari tumepata $300 million toka WB kwa ajili ya ukarabati wa reli yetu. pamoja na ukarabati wa reli, tayari serikali imenunua mabehewa ya treni za mizigo na abiria.
 
Wala usitie shaka, hizo ni changamoto ambazo huwa kawaida katika miradi yote mikubwa, ila tutashinda na lazima reli ifike Chigali na ikifika hapo tutakua na nguvu za kumtongoza Burundi na Mkongo.
 
Sisi hatukulalamika kwamba eti tunabaguliwa, tulibaki kimya na kufanya yetu. Ndivyo inafaa, kama huwezi husika kwenye mradi fulani, basi baki kimya, ungana na wenzako kama unaona haja.

Halafu muulize Mkenya yeyote nje ya JF swali lolote kuhusu Tanzania, utashangaa sana hakuna Mkenya huwa na haja ya kutaja Tanzania popote. Tuko busy kukimbizana na nchi zilizo mbele yetu kiuchumi, sioni haja ya Mkenya kukimbia akiangalia nchi zilizo nyuma yetu kama Tanzania.

Nyie ndio kila siku nyimbo zenu huwa haziishi eti jinsi mtakavyowafikia Wakenya.
Hebu angalia hii blog ya mbunge wa Tanzania jinsi ametaja Kenya utadhani yeye ni mbunge wa Kenya Imagining Tanzania: 5th largest Economy in Africa and largest in EAC by 2025 | Zitto na Demokrasia

..kuna waandishi wa habari wa Kenya who make a living and have specialized kuandika mambo mabaya dhidi ya Tanzania.

..The East African magazine limezoeleka kwa kuandika mambo mabaya-mabaya dhidi yetu huku nchi nyingine wanachama wa EAC zikiandikwa vizuri.

..hebu soma hapa uone aliyeanzisha habari za Tanzania kuwa isolated ni waandishi wa habari wa Kenya:

EAC states pull in different directions as Dar is isolated - News - www.theeastafrican.co.ke

..hapa pia unaweza kuona kwamba badala ya kusisitiza ushirikiano baina ya mataifa yetu, waandishi wa Kenya wamekuwa wakiandika habari ambazo zinaashiria kwamba kuna ushindani na upinzani na wakati mwingine uadui baina ya mataifa yetu.

Watch out Kenya,Tanzania is catching up | Zitto na Demokrasia

cc Nguruvi3, Masonjo
 
Last edited by a moderator:
lawmaina78 said:
Wala usitie shaka, hizo ni changamoto ambazo huwa kawaida katika miradi yote mikubwa, ila tutashinda na lazima reli ifike Chigali na ikifika hapo tutakua na nguvu za kumtongoza Burundi na Mkongo.

..sisi tumeshatangulia Burundi na Congo, na tunasubiri kuwakaribisha.

soma hapa:

http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/37283-kabila-hails-dar-s-role-in-empowering-drc-army

..soma tena hapa, ujue kwamba sasa hivi hatuchezi mbali na Congo:

http://archive.dailynews.co.tz/index.php/biz/31049-tpa-opens-liaison-office-in-lubumbashi

cc nyumba kubwa, Masonjo

​
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom