Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,418
- 154,805
Thanks Nguruvi3 ,
Sometime ago nilikuwa naongea na balozi wa Tanzania UN, akawa anasifia structure ya AU as opposed to OAU, akawa anasema kwamba iko modelled after the EU. Muda huo ndiyo EU inaanza kupata matatizo ya kiuchumi lakini hayajachanganya bado. Nikaguna, lakini nikasema labda anamaanisha kisiasa zaidi, kwani AU haiko kiuchumi zaidi.
Nilivyokuja kusikia watu wanaiga EU katika EAC, several years later, baada ya matatizo yote ya kiuchumi, nilipata maswali hayohayo ya piece ya kwanza hapo juu, minus aome of the details.
Huyo mbunge kuna sehemu hapo mwanzo kaanza na a rather protectionist stance, in such a way kwamba anaonekana kama anaogopa progress kwa kutetea local businesses. Lakini mbele ame tie in vizuri mambo ya matatizo ya ukabila Kenya na democracy etc, these are not to be ignored.

Last edited by a moderator: