East Africa to adopt One Network Area, call rates to drop

East Africa to adopt One Network Area, call rates to drop

Hao unaowaita think tank wa EAC walikuwa wanatumia model gani, mpaka wakaja na conclusion kuwa synergy ndio ingetuletea mafanikio? Kama ulivyosema tatizo letu ni marketing strategy, sasa ktk seven Ps za marketing, synergy iko kwenye P ipi? Na ukienda katika takwimu kama ulivyozisema hebu nipe mfano wa nchi best performers ktk utalii waliotumia synergy kama strategy ya marketing.
Kama tatizo ni marketing basi ilitakiwa tushirikiane ktk kumarket product zetu lakini tukubaliane pia gharama za marketing na jinsi mapato yanavyogawanywa, maana haiwezekeni tujadiliane kuwa kusiwe na mipaka ya vivutio halafu kusiwe na mjadala wa kueleweka ktk mapato. Na pia EAC mpaka sasa tunahangaika kuwa na soko moja lakini products kila mtu na zake, sasa Single Tourist visa kimsingi haitengenezi soko moja la utalii bali inajaribu kutengeneza product moja ya EAC kwaajili ya masoko tofauti duniani, kitu ambacho bado EAC haijafikia mahali pa kufanya products zikawa za EAC kwa pamoja.
Hata South Africa uliyoisema nayo inahangaika kukuza utalii bado maana imezidiwa mno na nchi kibao duniani, bado hata siku moja haijawahi kufikiri kuwa synergism kwa kuwa na Single tourist visa na majirani kama Lesotho, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Botswana na Namibia ni njia muafaka ya kukuza utalii South Africa.

Nimesoma majibu yenu wengi hapa na naona aidha mnategemea sana hapa JF kwa taarifa ama hamjasoma hii issue yote, mumekimbilia kukurupuka bila facts zozote. Halafu mna uzalendo kama ule wa kidini yaani unatetea tu hata kama unaona kuna makosa sehemu. Dunia mahali ilipo inataka watu wenye uwezo wa kuhoji mifumo iliyopo na sifa za ku-think outside the box. Watu wenye uwezo wa kulianzisha hata kama halijatumika kwingine, nyie bado mnahoji eti ni wapi hiki ama kile kilifaulu kwanza ndio hata na sisi tuhusike.

Halafu naona mnachanganya mada, hata siwaelewi nini mnacholalamika kuhusu, mara mwingine kaleta eti Waganda wanahoji single border system mwengine naye analalamika ya single tourist visa. Mbona msiwe na uwezo wa kujadili mada kama wasomi.

Nikirejelea hili la single visa, naona hamuna facts zozote, mnabisha ilmradi. Yote yameelezewa jinsi revenue zitagawanywa na jinsi nchi ambayo mtalii anaitembelea itakavyokua na lion share. Naomba msome facts zote kabla ya kubisha. Benefits zote zimeelezewa, takwimu zimepigwa analysis.
 
..hili suala lilitakiwa lishughulikiwe na EAC siyo CoW.

..I dont think it is something that Tanzania or Burundi would object to.

..binafsi sina tatizo na CoW kufanya miradi ya pamoja, nisichokipenda ni wao kujihusisha na negative campaig dhidi ya Tanzania.

.kila CoW wanapofanya mikutano yao, basi hawaishi kutoa maneno mabovu-bovu dhidi yetu.

cc simplemind, murutongore, flyingcrane, lawmaina78, Geza Ulole, Nguruvi3

contradiction

msamehe bure....watu wasiokuwa na msimamo mara nyingi huwa wanajichanganya. Arguing for the sake of arguing.

Kuna kujikinza gani hapo nyie?

Mnajua maana ya context?
 
Nimesoma majibu yenu wengi hapa na naona aidha mnategemea sana hapa JF kwa taarifa ama hamjasoma hii issue yote, mumekimbilia kukurupuka bila facts zozote. Halafu mna uzalendo kama ule wa kidini yaani unatetea tu hata kama unaona kuna makosa sehemu. Dunia mahali ilipo inataka watu wenye uwezo wa kuhoji mifumo iliyopo na sifa za ku-think outside the box. Watu wenye uwezo wa kulianzisha hata kama halijatumika kwingine, nyie bado mnahoji eti ni wapi hiki ama kile kilifaulu kwanza ndio hata na sisi tuhusike.

Halafu naona mnachanganya mada, hata siwaelewi nini mnacholalamika kuhusu, mara mwingine kaleta eti Waganda wanahoji single border system mwengine naye analalamika ya single tourist visa. Mbona msiwe na uwezo wa kujadili mada kama wasomi.

Nikirejelea hili la single visa, naona hamuna facts zozote, mnabisha ilmradi. Yote yameelezewa jinsi revenue zitagawanywa na jinsi nchi ambayo mtalii anaitembelea itakavyokua na lion share. Naomba msome facts zote kabla ya kubisha. Benefits zote zimeelezewa, takwimu zimepigwa analysis.

Simple mind, ni mzungu gani anayelalamika kutoa pesa za Visa? Huyo hatumtaki aje Tanzania anakuja kuchuma tu huyo. Hizo pesa za visa ni sawa na pesa za peremende, mtu wa kawaida kabisa kutoka nchi zilizoendelea anapata hizo pesa within hours, wakati sisi kwa Mtanzania kwenda kwenye nchi zao inabidi hiyo pesa aifanyie kazi. Ni akili za kimasikini za manyang'au kufikiri wataendelea kufaidika kwa sababu moja kubwa hakuna tourist yeyote hivi sasa anayetaka kwenda Kenya. Fact. Njoo huku Alaska uone jinsi Kenya inavyopigwa vikumbo.

BTW anybody who wants to save VISA fee is not a tourist. Kama anatoka ulaya aende Spain au France au Italy hizo ndio destination zao. Chichi tunawataka watalii wenye pesa bana za kutumia sio hawa waganga njaa.
 
Back
Top Bottom