Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 60,070
- 81,503
- Thread starter
- #721
Kubweka tunawaachia Wakunya!
Yaani kila kitu unajiona ingekuwa wewe ungekifanya bora zaidi😎..badala ya kujenga maofisi na majumba ya vigogo wa serikali huko Dodoma fedha hizo zingeweza kujenga barabara nyingi maeneo ya vijijini na kuinua maisha ya wananchi.
Yaani kila kitu unajiona ingekuwa wewe ungekifanya bora zaidi😎
Siongelei CCM hapa; nakuongelea wewe na vijitabia vyako vya kujiona mjuaji😎..rekodi mbaya ya utawala wa Ccm toka tupate uhuru ndio zinawafanya wengi waamini kwamba wangefanya mambo kwa ubora zaidi.
..Tanzania tumeongozwa vibaya na Ccm na ndio maana majirani zetu wanatucheka, kutubeza, na kutuita " sleeping giant. "
Mji wa Nairobi ni mchafu sana madereva wa matatu hawana ustaarabuAcha kuifananisha Dodoma na uchafu wa Nairobi.