Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Habari wanajamvi, mniwie radhi kwa swali la kizushi na la umbea ninalokwenda kuwauliza. "Umekula nini leo? Na unajifeel aje baada ya kupata hicho chochote kitu? Nani kapika, shemeji yetu ama shemeji yako? Kama umenunua, umeuziwa na nani na kwa bei ipi?
Itapendeza zaidi kama utatupia kapicha ka msosi na mandhari ya mahala unapolia / ilipolia
Iwe ni lunch, draster, dinner, drinner, fanty ama breakfast. Weka hapa, ndo pahala pake
Karibuni sana ndugu zanguni tupate japo chajio hapa shamba