Zack Abdul JF-Expert Member Joined Mar 9, 2026 Posts 895 Reaction score 777 Sep 1, 2026 #1 Thamani: USD Bilioni 3.5+ | Urefu: Km 1,443 Kwa Tanzania ni fursa ya ajira, biashara, mapato, uwekezaji na kuimarisha nafasi yetu kama lango la nishati Afrika Mashariki.
Thamani: USD Bilioni 3.5+ | Urefu: Km 1,443 Kwa Tanzania ni fursa ya ajira, biashara, mapato, uwekezaji na kuimarisha nafasi yetu kama lango la nishati Afrika Mashariki.
Zack Abdul JF-Expert Member Joined Mar 9, 2026 Posts 895 Reaction score 777 Sep 1, 2026 Thread starter #2 BOMBA LA MAFUTA LA EACOP ▪︎Thamani ya Mradi: USD bilioni 3.5+ | ▪️Urefu wa Bomba: 1,443 km ▪️Mradi huu una maana gani kwa Tanzania? ▪️Miundombinu mikubwa ya nishati ▪️Ajira na biashara mpya ▪️Mapato ya kodi na shughuli za biashara ▪️Kuimarika kwa nafasi ya Tanzania kama energy gateway ▪️Kuongezeka kwa biashara ya kikanda
BOMBA LA MAFUTA LA EACOP ▪︎Thamani ya Mradi: USD bilioni 3.5+ | ▪️Urefu wa Bomba: 1,443 km ▪️Mradi huu una maana gani kwa Tanzania? ▪️Miundombinu mikubwa ya nishati ▪️Ajira na biashara mpya ▪️Mapato ya kodi na shughuli za biashara ▪️Kuimarika kwa nafasi ya Tanzania kama energy gateway ▪️Kuongezeka kwa biashara ya kikanda
N NgerukeAbra JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 4,132 Reaction score 5,619 Sep 1, 2026 #3 Vipi mafuta na madini ya Zanzibar?