Hawa jamaa kwakweli wamebobea kabisa wana vipindi vizuri sana...EATV wanafanya kazi Ki-Professional, kwa TV za burudani hakuna wa kuwalinganisha hapa nchini. Wanafanya vizuri na wanahitaji sifa kwa kweli, haichoshi kuitazama EATV kuanzia asubuhi hadi jioni.
Mkuu mbona kama umeumia wenzio wakisifiwa?Watu mnaanzisha katopic ka kijipa promo afu mnapeana comment ninyi wenyewe...ahahaa
Kweli kabisa hasa madj wao wavyopanga mziki kuanzia asubuhi mpaka jion huchoki kuichekiEATV wanafanya kazi Ki-Professional, kwa TV za burudani hakuna wa kuwalinganisha hapa nchini. Wanafanya vizuri na wanahitaji sifa kwa kweli, haichoshi kuitazama EATV kuanzia asubuhi hadi jioni.
Umenikumbusha Dominick Nyalifa,sijui saivi yuko wapi huyu jamaa Mzee wa Hala fiveEnewz bado anatangaza dominic Nyalifa au kuna mwingine mana siaangalia siku mingi
Daah basi kimenoga zaidiSam Misago, sikuhizi ni kipindi cha nusu saa sio kama zamani
Tafuta kiingamuzi cha startimes kwajili ya local channels tu unakuwa ulipie wala nn me ndicho nilichofanya nalipia dstv tu startimes nacheki za kibongo tuDaah basi kimenoga zaidi
[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] Dstv plz jiongezeni mnatunyima uhondo wa kunyumba mweh
Watu mnaanzisha katopic ka kijipa promo afu mnapeana comment ninyi wenyewe...ahahaa