Msaada wa kusave contancts kwenye e-mail

MR BINGO

JF-Expert Member
Feb 12, 2016
1,092
2,270
Habari wakuu. Shida yangu ni kujua kama kuna uwezekano wa kuhamisha contancts zako kwenye e-mail yako ili uzipate endapo simu itapotea au kupata matatizo. Akhsanten

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda katika app ya contact kipengele cha gusa menu ya hiyo App mara nyingi huwa ni dots zipo tatu. Utaona import and Export chagua Import from (tigo,voda, phone) then itakutaka uchague hizo contact uzipeleke kwenye nini hapo chagua email. Kisha iruhusu izihamishe.
Pia kila unapo save contact chagua storage ya email.
Na hakikisha auto sync ipo on. ( hii inapatikana kwenye setting, then account.

Sent by SangaweJr
 
Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom