Msaada nahitaji ku-recover Yahoo émail adress yangu

carlkate

Member
Oct 8, 2018
32
31
Wakuu Habari

Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza

Nilikua na Yahoo émail ambayo kimsingi niliitumia sana kwa mambo yangu hasa yahusuyo career yangu

Niliacha kuitumia Kwa muda mrefu baada ya kubadili harakati za maisha

Nilipokuja kujaribu ku access ikanigomea, nilitakiwa kuingia kwa kutumia vérification codé zilizokuwa zinatumwa kwenye simu yangu ya zamani ambayo kimsingi nayo ni mgumu kui recover

Nimejaribu sarakasi zangu zote ikiwamo kuwacheki Yahoo desk, nimeshindwa

Naomba wajuvi wanisaidie, kuna archives Za muhimu nazihitaji ikiwamo vyeti vyangu

Natanguliza shukrani
 
ukienda help desk kuna mambo watakuuliza
1:namba za sim
2:tarehe,mwezi,mwaka uliofungua acount yako
3:email shirikishi
Ukichemka vyoote imekula kwako
 
ukienda help desk kuna mambo watakuuliza
1:namba za sim
2:tarehe,mwezi,mwaka uliofungua acount yako
3:email shirikishi
Ukichemka vyoote imekula kwako
 
Back
Top Bottom