jaribu kutafuta watu wa IT wanaweza kukusaidia kujua ni nani aliyetuma e mail hiyo,,,, maana siku hizi ukifungua e mail lazima watakuambia andika namba yako ya simu ili wakutumie ACTIVATION CODE.... so kupitia namba ya simu utamjua... ila wape watu wa IT me sijui kivipi utaweza kupata namba hiyo
sawa kabisa, wewe ndo umemaliza kila kitu? Inaonekana huyo mwanamke anakukalia kichwani, from no where anakuja na maswali ya kipumbavu kama hayo? Ivi anafikiri mwanaume ni mpumbavu?hata kama ni kweli ulimega hiyo bikra yeye anafikiri utakubali kirahisi rahisi hivyo? PUMBAVU kabisa. NDo maana sisi watu wakorofi tunapewa wake wapole sana la sivyo tungekuwa tunakaa na first ID box kama tatu hivi nyumbani.tandika vibao viwili akili imkae vema... pambaffff zake.
Mke wangu amepokea email kutoka kwa msichana asiyemfahamu ikisema hivi..
Naomba unisamehe kwasababu sitaki unijue mimi ni nani ndio mana nimefungua email hii mpya ila naomba msaada wa ushauri wako, kuna mtu amemuoa dada yangu na hivi majuzi amenibaka nyumbani na amenisababishia maumivu makali kwasababu nilikuwa bikra, sasa nataka nishtaki kwa mkewe ambae ni dada yangu, nikiangalia upande wa pili naona kama naweza kumuua dada kwa presha pia naangalia upande mwingine mimi nawategemea sana hawa wawili sasa je naomba unishauri njia sahihi ya kufikisha ujumbe bila kuleta madhara kwasababu huyu shemeji yangu bado ananisumbua naona bila kusema ataendelea kunibaka, sasa nakuomba ushauri nifanyaje ili nifikishe ujumbe?
Basi mke wangu baada ya kupata email hiyo kaanza kuwapigia wadogo zake wa kike na kuwalazimisha waseme wao ndio wametuma, mara aanze kuwatukana na mimi nimerudi nikaanza kutukanwa nikaambiwa nimetembea na mdogo wake nikawa sielewi, yani amekuwa kama amechanganyikiwa, kazini ameomba likizo.
Mimi sijui nani ametuma na alikuwa anamlenga nani na sijui imekuwaje mama watoto afikirie hivyo na hii ni mara ya kwanza kwake kunifikiria hivi hatujawahi kuhisiana vibaya hata siku moja.
Ninachoomba wapendwa mnipe ushauri nifanyaje kuokoa ndoa hii na pia nawezaje kujua alietuma email ile.