Oky ni kwamba huwa zinachukuliwa za wiki nzima zinagawanywa ndio unapata hiyo rate niliyopost mwanzo kabisa hii ya jana niya siku moja tu so hadi wikii hii iishe wagawanye ndio upate rate ya wiki nzima kama ya mwanzo so j3 unaweza pata laki 8 jumanne laki 2 nk inategemea na usikilizwaji wa siku husika then wanapiga mahesabu unapata weeklyYou're right, lakini nilisharekebisha/malizia
Hii nakubali, clouds inasikilizwa sana Efm madereva wa bodoboda ndio wengi, clouds haina mpinza Afrika masharikiView attachment 365537 Uongo usio na maana yoyote! vantz, naomba link ya hiyo ripoti yako manake na mimi nakupa link ya Geo Poll!
TV and Radio Ratings in Tanzania, Q1 2016
Posted by Athman Sungura on June 21, 2016
As part of Kantar-GeoPoll Media Measurement's daily surveys on audience habits for TV, radio, and print, GeoPoll is pleased to release this report on top TV and radio stations in Tanzania, popular viewing times, and more for Q1, 2016.
Top Radio Stations
Clouds remained the dominant radio station in Tanzania with an average rating of 10.7, compared to 9.8 in Q4 2015. TBC Taifa, the second highest-rated station, decreased in ratings from 4.7 in Q4 to 4.5 in Q1, but maintained their second position. Radio Free Africa and Radio One had the same average rating in Q1, 3.8, while TBC FM's ratings stayed consistent with Q4 2015. Once again Clouds, TBC Taifa, and Radio Free Africa were the top stations in terms of audience share, and 13% of audience share for radio went to "other" more regional stations. Full national radio ratings are in the chart below:
SOURCE: GEO POLL
Ukiangalia hiyo ripoti, wakati average rating ya Clouds ni 10.7 ya EFM ni 2.1 !! Likewise, wakati Rating ya Clouds imepanda kutoka 9.8 Q4 2015 to 10.7 Q1 2016; Rating ya EFM ipo constant over the same period!!
Sasa ikiwa hizo takwimu zako zinaonesha highest number of Listernship, inakuwaje tena inakuwa na low rating?
Usitoe povu Ndugu weka source tuchek sio unascreenshoot makaratasi ya Matangazo kwenye notes boardAcha wivu wa kikee hao boda boda sio watu? Usibishane na nguvu ya umma
wananiona ila sema tu hawana ujanja wa kunifungiaTCRA bado tu hawajakuonaa??
Soma hapomkuu jamaa kajipa cheo gani?
Wanawasapoti "wenzao"Wacha waisome namba tu baada ya kuleta mambo yenye tija kwa maendeleo wao wamekalia ushoga tu
Sijui wanapata faida gani.!
Radio mpya kupewa coverage nchi nzima ni mchakato wa kisheria pale TCRA, huku pia ikifanyiwa tathimini ya maendeleo yake kabla haijaruhusiwa. Ila kwa mwendokasi wa MAJIZZO, soon wataachieve hili! Hakuna kipingamizi.hivi kweli hii Efm watafikaga mikoani kwetu kweli kama mwanza vile au Arusha au wanaweza mbania vibali au mambo ya pesa hayako vema sana kwa kusambaza mikoani naomba kujuzwa hili wakuu
Hahahahahah pole sana mkuu nakumbuka kuna siku tulibishana sana nikaamua kukuacha leo umeona ukweli.. Mimi hii ishu nulipenyezwwa na mimi mchizi yupo tcra efm wanakimbiza haswa.. Vipi lakini ile nyingine wameipiga ban nini naona umeibuka kivingine.Tofauti ya wazi ni kwamba data zangu ni from reliable source na zinajieleza zenyewe! Kwa mfano, nyie mnafanya assumption kwamba ni data za Dar es salaam peke yake kv wameandika weekly (Dar es salaam)!! Na ndio maana kuondoa hiyo misunderstanding nikaomba source ya hizo data lakini hakuna aliyetoa zaidi ya kusema nimekurupuka! Na ndio maana nimeuliza, hapo kwenye EFM tukiweka radio nyingine yoyote utazikataa hizo takwimu?! Yaani hapa tunashindanisha DATA frm CREDIBLE na Data From UNKNOWN source!
Kuhusu swali, kwa mtazamo wangu ni ipi inasikilizwa sana Dar... Jibu ni Clouds! EFM inasikilizwa sana kwenye mitandao ya kijamii-- yaani kuna siasa nyingi ndani yake! Na hizi siasa zilianza kabla EFM hawajaenda hewani pale uvumi ulipokuwa umeenea kwamba EFM ni radio ya Jide! Na watu wakaanza kuwa mashabiki wa EFM kabla hata hawajaisikia kv tu walikuwa hawaipendi Clouds!!
wewe acha zako kwa sisi tulio Dar ni EFM kuanzia saab12 asubuhi mpaka .........na kila ninapopita ni hivyoHii nakubali, clouds inasikilizwa sana Efm madereva wa bodoboda ndio wengi, clouds haina mpinza Afrika mashariki
Sheria inasema wazi kuwa unatakiwa usambae ulipo kwa miaka mitatu ndio unaweza kupewa kibali cha kwenda nje ya mkoa! mwaka huu ndio wana timiza miaka mitatu tangu waanze.hivi kweli hii Efm watafikaga mikoani kwetu kweli kama mwanza vile au Arusha au wanaweza mbania vibali au mambo ya pesa hayako vema sana kwa kusambaza mikoani naomba kujuzwa hili wakuu
Halafu hao wanao ambiwa kuwa data zao ni fake ndio wamekuwa wakitoa data kila siku zinazo wabeba Clouds sasa sijui ufake ni kwakuwa Clouds wameshushwa?badala ya kukurupuka na kuanza kusema ni uongo,ningekuona wa maana ungesema data zenyewe ni za kipindi kifupi(wiki moja)Hivyo zinaweza zisielezee uhalisia.Sasa inabidi udhibitishe hizi ni ''fake data''.Tuletee ''Real Data'' katika duration hiyo 4th-8th July...
si wangine hatuelewi kinachoendelea sijui hiyo miziki ya mateja ndo inayowachanganya hakuna radio ambay unawez sikiliza vipindi vyote kwanzia asubuh mpaka saa sita usiku zaid ya cloudsHiyo radio ya kuboma wengine hatuijui. Watangazaji wake ni akina nani?
xxl na amplifier tuSo kipindi kinachowabeba Cloudz ni XXL tu hapo