E-Fm yaendelea Kuitesa Clouds Fm Dar

E-Fm yaendelea Kuitesa Clouds Fm Dar

Safi kabisa mameneja masoko wapate tabu kidogo, mziki wa bongo usibase kwa upande mmoja
 
View attachment 365537 Uongo usio na maana yoyote! vantz, naomba link ya hiyo ripoti yako manake na mimi nakupa link ya Geo Poll!

Sasa ikiwa hizo takwimu zako zinaonesha highest number of Listernship, inakuwaje tena inakuwa na low rating?

Mkuu nimejaribu kuipitia hiyo ripoti yako naona kama inazungumzia TZ nzima, vipi unaweza kupata yenye Dar peke yake? Maana EFM wapi Dar na Pwani kama sijakosea, na mleta ripoti wa kwanza alimaanisha kuweka ulinganifu mahali ambapo redio zote zipo.
 
Narudia Tena,wewe ni mkurupukaji,either kwa kutambua ama kutojitambua.Na sababu ni hizi..
  1. Data zilizoletwa ni kuanzia kipindi cha takribani wiki moja,Julai 4 mpaka Julai 8 mwaka 2016(As per Geo Poll Monitored).Je data zako ni za kipindi hicho?Hapana kwa kuwa (ulipokopy na kupaste habari tu ni ya tarehe Juni 21,kwa hiyo hata hiyo monitoring(ya tar 4-8 july) ilikuwa haijafanywa)
  2. Taarifa za (na data zilizoletwa na mleta mada) uzi ni tofauti kabisa na hizo data ulizotukopia na kupaste hapa..Mleta Uzi kaleta data za za takribani siku tano/wiki moja zikionesha mnyumbuliko wa vipindi husika katika kipindi hicho pamoja na wasikilizaji wake,wewe umeleta data za overall(ambazo ni za nyuma zaidi/kidogo)kubishia kitu tofauti..sasa huoni ni ukurupukaji huo.Tatizo langu kwako ni ukurupukaji na si kukataa data ulizoleta kuwa ''fake''.Jifunze kuhusianisha vitu

Bila kusahau pia kwamba data zilizoletwa ni za Dar peke yake, jamaa huyu kaweka za Tanzania nzima.
 
hakika,licha ya kuwa kachukua data za nchi nzima ,pia kachukua data za kipindi kirefu zaidi,kwa ujumla wake na bila kuzingatia ulinganisho wa vipindi.Kibaya zaidi anashindwa kuelewa hizi ni data za week moja tu ambazo zinaweza zisikupe picha kamili bali ni kama mwongozo wa perfomance ya redio husika ukilinganisha na radio shindani kwa kipindi hicho.By the way nilikuwa na hamu sana ya kuona performance ya Radio Uhuru na TBC..Tuone redio zetu ''pendwa'' zinavyopasua wimbi bongoland... 😀😀
 
Jamaa kakurupuka, nadhani ameshaelewa wapi amekosea ndo maana harudi tena humu au atakuja kukiri kukosea
 
Mkuu nimejaribu kuipitia hiyo ripoti yako naona kama inazungumzia TZ nzima, vipi unaweza kupata yenye Dar peke yake? Maana EFM wapi Dar na Pwani kama sijakosea, na mleta ripoti wa kwanza alimaanisha kuweka ulinganifu mahali ambapo redio zote zipo.
Ingawaje hiyo attachment hapo juu imeandikwa Dar es salaam lakini takwimu zake sio exclusively for regional stations na ndio maana hapo kuna EFM ambayo nadhani ni regional station na pia kuna RFA ambayo ina national coverage.... kwa maana nyingine kotekote wamewekwa kwenye kapu moja!
 
Mkuu nakupata, lakini je unakubali kwamba ripoti yako ni tofauti na ya jamaa?

Na kwa mtazamo wako wewe mwenyewe, ni radio ipi kati ya EFM na Clouds inaongoza kwa wasikilizaji Dar?
 
Jamaa kakurupuka, nadhani ameshaelewa wapi amekosea ndo maana harudi tena humu au atakuja kukiri kukosea
Mnang'ang'ania nimekurupuka, sasa mnaona taabu gani kuweka source ya hizo data?! Hivi endapo pale ilipowekwa EFM ingewekwa Times FM; ungekataa?!
 
Mkuu nakupata, lakini je unakubali kwamba ripoti yako ni tofauti na ya jamaa?

Na kwa mtazamo wako wewe mwenyewe, ni radio ipi kati ya EFM na Clouds inaongoza kwa wasikilizaji Dar?
Tofauti ya wazi ni kwamba data zangu ni from reliable source na zinajieleza zenyewe! Kwa mfano, nyie mnafanya assumption kwamba ni data za Dar es salaam peke yake kv wameandika weekly (Dar es salaam)!! Na ndio maana kuondoa hiyo misunderstanding nikaomba source ya hizo data lakini hakuna aliyetoa zaidi ya kusema nimekurupuka! Na ndio maana nimeuliza, hapo kwenye EFM tukiweka radio nyingine yoyote utazikataa hizo takwimu?! Yaani hapa tunashindanisha DATA frm CREDIBLE na Data From UNKNOWN source!

Kuhusu swali, kwa mtazamo wangu ni ipi inasikilizwa sana Dar... Jibu ni Clouds! EFM inasikilizwa sana kwenye mitandao ya kijamii-- yaani kuna siasa nyingi ndani yake! Na hizi siasa zilianza kabla EFM hawajaenda hewani pale uvumi ulipokuwa umeenea kwamba EFM ni radio ya Jide! Na watu wakaanza kuwa mashabiki wa EFM kabla hata hawajaisikia kv tu walikuwa hawaipendi Clouds!!
 
Kura za maoni za bongo na kura zingine zote ni mauzauza tu.
 
huu mchezo hauitaji hasira bab
tunakucheka kwa dharaau! pole ruge ndo ujipange na mawingu yako huyo
 
Mnang'ang'ania nimekurupuka, sasa mnaona taabu gani kuweka source ya hizo data?! Hivi endapo pale ilipowekwa EFM ingewekwa Times FM; ungekataa?!

Mkuu basi naomba kujitoa kwenye wanaosema umekurupuka.

Hujakurupuka.
 
Nilikua dar kwa siku 3 majuzi, kila daladala niliyopanda ilisikika EFM
 
huu mchezo hauitaji hasira bab
tunakucheka kwa dharaau! pole ruge ndo ujipange na mawingu yako huyo
Unastahili kupuuzwa basi manake sawa na wengine; nawe badala ya kuweka source unaleta habari za Ruge... zile zile siasa nilizosema!
 
View attachment 365537 Uongo usio na maana yoyote! vantz, naomba link ya hiyo ripoti yako manake na mimi nakupa link ya Geo Poll!

TV and Radio Ratings in Tanzania, Q1 2016

Posted by Athman Sungura on June 21, 2016

As part of Kantar-GeoPoll Media Measurement's daily surveys on audience habits for TV, radio, and print, GeoPoll is pleased to release this report on top TV and radio stations in Tanzania, popular viewing times, and more for Q1, 2016.

Top Radio Stations

Clouds remained the dominant radio station in Tanzania with an average rating of 10.7, compared to 9.8 in Q4 2015. TBC Taifa, the second highest-rated station, decreased in ratings from 4.7 in Q4 to 4.5 in Q1, but maintained their second position. Radio Free Africa and Radio One had the same average rating in Q1, 3.8, while TBC FM's ratings stayed consistent with Q4 2015. Once again Clouds, TBC Taifa, and Radio Free Africa were the top stations in terms of audience share, and 13% of audience share for radio went to "other" more regional stations. Full national radio ratings are in the chart below:

SOURCE: GEO POLL

Ukiangalia hiyo ripoti, wakati average rating ya Clouds ni 10.7 ya EFM ni 2.1 !! Likewise, wakati Rating ya Clouds imepanda kutoka 9.8 Q4 2015 to 10.7 Q1 2016; Rating ya EFM ipo constant over the same period!!

Sasa ikiwa hizo takwimu zako zinaonesha highest number of Listernship, inakuwaje tena inakuwa na low rating?
Mleta habari ripot yake ni ya Dar ambako kuna Efm na Cloud
Narudia Tena,wewe ni mkurupukaji,either kwa kutambua ama kutojitambua.Na sababu ni hizi..
  1. Data zilizoletwa ni kuanzia kipindi cha takribani wiki moja,Julai 4 mpaka Julai 8 mwaka 2016(As per Geo Poll Monitored).Je data zako ni za kipindi hicho?Hapana kwa kuwa (ulipokopy na kupaste habari tu ni ya tarehe Juni 21,kwa hiyo hata hiyo monitoring(ya tar 4-8 july) ilikuwa haijafanywa)
  2. Taarifa za (na data zilizoletwa na mleta mada) uzi ni tofauti kabisa na hizo data ulizotukopia na kupaste hapa..Mleta Uzi kaleta data za za takribani siku tano/wiki moja zikionesha mnyumbuliko wa vipindi husika katika kipindi hicho pamoja na wasikilizaji wake,wewe umeleta data za overall(ambazo ni za nyuma zaidi/kidogo)kubishia kitu tofauti..sasa huoni ni ukurupukaji huo.Tatizo langu kwako ni ukurupukaji na si kukataa data ulizoleta kuwa ''fake''.Jifunze kuhusianisha vitu
 
Mkuu basi naomba kujitoa kwenye wanaosema umekurupuka.

Hujakurupuka.
Unafikiri mi naona taabu basi kuitwa nimekurupuka?! Unajua from the beginning nimekana "kisomi" kwa kuomba link source ya mleta mada lakini source hadi sasa cjapewa!! I know, Geo Poll huwa wanatoa regional data upon request... Sasa assuming source ya mtoa mada ni email; basi afanye screenshot! Naamini hapa hatushindani kwahiyo hata screenshot nitaiamini na sitakuwa na sababu ya kuhisi labda ni photoshop!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom