Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,201
- 1,232
Sisi pamoja na baba yako na mama yako tunampenda Magufuli sana.DW: Huyu ni dikteta mpya Afrika? Wanachama thelathini na nane wa chama kikuu cha upinzani ikijumuisha wanasheria wamewekwa korokoroni wiki moja kufuatia uchaguzi. Nani bado mshabiki wa Rais Magufuli?