Rita Warobi
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 343
- 575
Wow , mi sikujua chadema iko powerful kiasi cha kucontrol media za DW., msipende kusikia mnayotaka kusikia tu.. jifunzeni kupokea changamoto pia., mkkifanya jema mtasifiwa , mkiharibu mtakosolewa na kwa vitu ambavyo viko wazi, periodDont call them independent media
...its a shame.
Habari wanazotoa ni mawazo ya Chadema kupitia wabongo wanaofanya kazi hapo