Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,289 Reaction score 2,472 Jan 4, 2017 #1 Poleni na majukumu wakuu. Naulizia hiyo kitu hapo juu. Kwa anayejua na bei zake tafadhali. Nipo Dar. Cc CHIEF MKWAWA. Nashukuru kwa msaada wako juu ya ile software japo haikukidhi nilichitaka
Poleni na majukumu wakuu. Naulizia hiyo kitu hapo juu. Kwa anayejua na bei zake tafadhali. Nipo Dar. Cc CHIEF MKWAWA. Nashukuru kwa msaada wako juu ya ile software japo haikukidhi nilichitaka
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,228 Reaction score 44,234 Jan 4, 2017 #2 mkuu dvd ni kampuni nyengine na bluray ni kampuni nyengine ila zote ni disc. sina idea utazipata wapi ila HD DVD ni equivalent ya Bluray jaribu kwenda aggrey ulizia dvd za 8gb mpaka 20gb kama utazipata.
mkuu dvd ni kampuni nyengine na bluray ni kampuni nyengine ila zote ni disc. sina idea utazipata wapi ila HD DVD ni equivalent ya Bluray jaribu kwenda aggrey ulizia dvd za 8gb mpaka 20gb kama utazipata.
Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,289 Reaction score 2,472 Jan 4, 2017 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: mkuu dvd ni kampuni nyengine na bluray ni kampuni nyengine ila zote ni disc. sina idea utazipata wapi ila HD DVD ni equivalent ya Bluray jaribu kwenda aggrey ulizia dvd za 8gb mpaka 20gb kama utazipata. Click to expand... Nashukuru mkuu. Nilipita huko leo nikiulizia nikaambiwa kuhusu hizo za 8gb. Sikujua kama ni equivalent. Kesho nitazipitia
Chief-Mkwawa said: mkuu dvd ni kampuni nyengine na bluray ni kampuni nyengine ila zote ni disc. sina idea utazipata wapi ila HD DVD ni equivalent ya Bluray jaribu kwenda aggrey ulizia dvd za 8gb mpaka 20gb kama utazipata. Click to expand... Nashukuru mkuu. Nilipita huko leo nikiulizia nikaambiwa kuhusu hizo za 8gb. Sikujua kama ni equivalent. Kesho nitazipitia
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,228 Reaction score 44,234 Jan 4, 2017 #4 Nchi Kavu said: Nashukuru mkuu. Nilipita huko leo nikiulizia nikaambiwa kuhusu hizo za 8gb. Sikujua kama ni equivalent. Kesho nitazipitia Click to expand... ya 8gb sio almost equivalent sababu bluray ni 25gb au 50gb ila anaeuza dvd ya 8gb ni rahisi kuwa na information zaidi.
Nchi Kavu said: Nashukuru mkuu. Nilipita huko leo nikiulizia nikaambiwa kuhusu hizo za 8gb. Sikujua kama ni equivalent. Kesho nitazipitia Click to expand... ya 8gb sio almost equivalent sababu bluray ni 25gb au 50gb ila anaeuza dvd ya 8gb ni rahisi kuwa na information zaidi.
Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,289 Reaction score 2,472 Jan 5, 2017 Thread starter #5 Chief-Mkwawa said: ya 8gb sio almost equivalent sababu bluray ni 25gb au 50gb ila anaeuza dvd ya 8gb ni rahisi kuwa na information zaidi. Click to expand... Nilipoona Za 8gb Jana Hajui Lolote Kuhusu Blu Ray. Soko Lake Bongo Bado
Chief-Mkwawa said: ya 8gb sio almost equivalent sababu bluray ni 25gb au 50gb ila anaeuza dvd ya 8gb ni rahisi kuwa na information zaidi. Click to expand... Nilipoona Za 8gb Jana Hajui Lolote Kuhusu Blu Ray. Soko Lake Bongo Bado