Dvd za blu ray zinapatikana wapi?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
3,912
2,000
Poleni na majukumu wakuu. Naulizia hiyo kitu hapo juu. Kwa anayejua na bei zake tafadhali. Nipo Dar.

Cc CHIEF MKWAWA. Nashukuru kwa msaada wako juu ya ile software japo haikukidhi nilichitaka
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,713
2,000
mkuu dvd ni kampuni nyengine na bluray ni kampuni nyengine ila zote ni disc.

sina idea utazipata wapi ila HD DVD ni equivalent ya Bluray jaribu kwenda aggrey ulizia dvd za 8gb mpaka 20gb kama utazipata.
 
Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
3,912
2,000
mkuu dvd ni kampuni nyengine na bluray ni kampuni nyengine ila zote ni disc.

sina idea utazipata wapi ila HD DVD ni equivalent ya Bluray jaribu kwenda aggrey ulizia dvd za 8gb mpaka 20gb kama utazipata.
Nashukuru mkuu. Nilipita huko leo nikiulizia nikaambiwa kuhusu hizo za 8gb. Sikujua kama ni equivalent. Kesho nitazipitia
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,713
2,000
Nashukuru mkuu. Nilipita huko leo nikiulizia nikaambiwa kuhusu hizo za 8gb. Sikujua kama ni equivalent. Kesho nitazipitia
ya 8gb sio almost equivalent sababu bluray ni 25gb au 50gb ila anaeuza dvd ya 8gb ni rahisi kuwa na information zaidi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom